Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Kila mtu aoe kabila lake au la Kanda yake ndio wanaendana mizimu nje ya hapo ni migogoro isiyoisha ndoani sababu mizimu inagombana matokeo ni katika ulimwengu wa mwili.
Huo ndio mpango mzima hayo makabila aliyotaja binafsi siwez kuoa ..Wanawake wake hawavutii
 
Ukanda wa pwani sio tatizo ,tena nenda kweny sikukuu watu wanaenda nyumba moja wanakula pamoja au mwezi wa Ramadhan..

Pia pwani Mzee anafanya ufuatiliaji wa mwanae ndio maana kuna kauli ukifika haswa Tanga , Zanzibar wanawake wanasema "sikufukuzwa kwetu" ina maan yupo free kwenda mda wowote sharti ni kuomba ruhusu....

Ndio maana kule wanashangaa wachaga kurudi December tu[emoji28][emoji28], basi Tanga kutwa anaenda kwao au mzazi anakuja kuangalia mwanae.
Tatizo la Zanzibar wanawake wachache ndiyo maana binti anaweza kuondoka kwenda kuishi kwao bila sababu ya msingi, lakini Zanzibar ingekuwa inawanake wengi kama Dar au Bara mke asingeweza kusubutu kuondoka kwake akaenda kwao kukaa tu, tena kwao ni karibu siyo mbali kama Dar to Mwanza, kwao ni karibu tu hata kilomita 10 haizidi, Yani hao wanawake wa pwani bora waolewe na wanaume wao tu, wakija kuolewa na wanaume wa Bara wataletewa watoto wa nje wawalee, Mwanaume aliyekamili hawezi kuvumilia tabia ya mke wake ya kwenda kwao kwa mwezi anaenda kukaa wiki tatu na wiki moja kwa mume.
 
Karne hii bado kuna watu mnawaza ukabila? Ninyi ndio wale ambao Nyerere aliwatamani mpigwe fimbo 100 mbele ya kadamnasi kwa kuendekeza Ushenzi na ubaguzi,

Mambo ya ukabila na tabia ya mtu haviendani, acheni kuwaza ujima ktk jamii iliyostaarabika
 
Pana makundi ya wanawake pana wanawake moto na wanawake baridi.
Mikoa inayopakana na Kenya wanawake wa huko wapo karibu tabia sawa yaani ni moto au pasua kichwa ni hatari kwa afya ya akili ya mwanaume.
Kanda ya kati Hadi nyanda za juu kusini ni wanawake baridi.
 
20240120_155935.jpg
20240121_111420.jpg
20240121_111420.jpg
20240121_111548.jpg
20240121_123042.jpg
20240120_140720.jpg
20240120_121116.jpg
20240120_121116.jpg
 
Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Makabila bora kabisa kupata mke ni:

1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia

2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi

3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara

4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana

6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.

KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini

Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.

Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.

View attachment 2883317
Mwanaume dhaifu lazima aogope makabila ya kaskazini
 
Back
Top Bottom