Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Pwani ipi mkuu,,
hawa dakika mbili mbele
Kukuachia nyumba na mtoto kichanga haoni kazi
Kwa jinsi ulivyowasilisha mada yako, wa Pwani hawakufai.

Wewe unataka mke mvumilivu sana, mchapakazi sana, mpambanaji sana, nk, nk...

Mkuu, wewe unatafuta mtumwa, au mtwana!

Kwa watu wa Pwani, mke sio jukumu lake kabisa 'kutafuta ugali!'
 
Mbona hao wengine wanaongoza kwa ukimwi shida ni nini kama wametulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…