Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana
Ila asiwe amepitishiwa razorblade
 
Ukioa muha jua umeoa ukoo mzima!, Ni mwendo wa kukivusha kijiji kizima kuja Daslamu kwa dada yao. Pia wana mdomo sana na wanapenda kujibizana na waume zao.
 
Kwenye upande wa uchapakazi na biashara hao wanawake wa kibena na kikinga nawaaaminia sana..huwa hawana non-sense pia wana heshima sana kwa waume zao. Mara nyingi naona wakioana wao kwa wao kuliko kuona wakioana makabila tofauti. Kizingiti za lugha labda inaweza kuwa tatizo.
 
7. Wachaga Umetusahau jamani mweeeeehhhhh😅😂😅
 
Namba 5 ukitaka kwenda nao sawa uwe primitive.
Ukiwa diplomatic,humble sijui mlokole mstaarabu don't try this.
Wanataka mwanaume ukiwa we ni mvulana pita kushoto.
Nilikuwa nataka kuandika haya. Mimi nilishindwa. Mwanamke hayupo submissive kabisa
 
Mke ni bahari usiyojua kina chake, Ukiamua kujitosa jitose tu.

Kipindi hiki ambacho Jamii imekuwa na Muingiliano mkubwa, Athari za Utandawazi na Hata Dini mpya za kila siku ni Vigumu kuamini usalama upo kwa Wanawake wa Sehemu fulani pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…