Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Msos classy ni Tengoz..njia ya kwenda stesheni! safi kbs chakula chao ..!yaani hata kufanya evening walk mkaenda kula hapo pako poa sana!
Au nashera wana msos classy n taste
MaChimbo mengine unakutana na walugur wamepaka wanja kama wanataka kupaa!
Pa mwisho kbs Dragonaire Njia ya kwenda bigwa everythn on point! Huku hutukuti wapaka wanja wa pikoπŸ˜€
 
Nataka kujua hotel ya kulala nzuri na yenye vyakula vizuri sana.
Location ya nguvu! Nguzo Camp ipo forest karibu na mo town... Ni lodge elfu50 na ina vyakula vyote ila hakuna chakula chini ya elfu8 nikuanzia iyo na kuendelea kupo cool sana... Uzuri wa hii sehemu room zake zinajitegemea yani ni kama kinyumba ivi chako peke ako kuna adi jiko uko ndani ukitaka kupika unapika pia
 
Nenda Cate Hotel ila chumba ni 120,000 kama umezoea kugongea demu chuma cha elfu 20 hapo utapasikia tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ewaaa...hilo jiwe nakaaga hapo natumbukiza miguu pembeni nna wine..hahaa..kumetulia...sio kama kule juu vitoto vya sua vinakiss muda wote
Hahaahaha watoto wa SUA wamekukosea nini jamani mweeh. Kwa kweli ukifika hapo kwenye maji, shurti udumbukize miguu
 
Hahaahaha watoto wa SUA wamekukosea nini jamani mweeh. Kwa kweli ukifika hapo kwenye maji, shurti udumbukize miguu
Kule juu i hope unakufahamu..wamejazana wanapiga picha..dah...bas unajikuta hufai kukaa hapo! I mean mto mawe huko
 
Kuna mmama alikuwa ananiambia Dragonaire wana pizza amazing sana

 
Dumila Pub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…