Kuna njia kule useme unapita utokee mtaa mwingine?!![emoji38][emoji38][emoji38] nini na wewe?
Aisee!!
Linga isiku limo angwisapo ku Morogoro, nghuja pa kukulonda (nimeandika lugha yenu broken lakini najua utanielewa [emoji4])
Maana naona tupicha ni twa isala isi (lululu)...
Vipi kuhusu mzunguko wa pesa, naamanisha kufanya biashara morogoro mjiniUkitaka kuenjoy mbuzi wa kuchoma ni uhuru park kwakweli wana mbuzi wanamchoma anatokea rangi ya gold hatari tupu..lakini sio bar ya kukaa unywe uenjoy..kwanza jiko liko jiran na viti bas joto lote unaliskia wewe!
Kwa mbuzi niliwavulia kofia...
Pamezubaa mno ndo maana tunashindaga ndani tu..
Weka benki hizo hela.!Vipi kuhusu mzunguko wa pesa, naamanisha kufanya biashara morogoro mjini
Utajuta...wako pair pair... vinaoga uwii😀Mto wa mawe sijawahi kuingia, napapitaga tu. Kumbe ndiyo wanajazana wanafunxi wa SUA?[emoji38][emoji38][emoji38]
Nimecheka sanaDumila Pub
Kuna njia kule useme unapita utokee mtaa mwingine?!!
Huwez mkuta mlokole konk kule bwana .maana ni machaka fulani...! Ah...sijui...Mmmh basi mimi sio mwokovu[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126]
Ni maeneo ya huko huko forest lakini sio uje msamvu n the like..panaboaHaka ka mji nikiboreka Dar ndio kimbilio langu.....nikiona ile milima asubuhi na baridi kidogo nakuwa nimesahau pilika za Dar
Nashukuru kwa picha ila naona niza muda kidogo now kupo cool sana na ile kijani imekolea kweli kweli... Ni sehemu yangu nzuri yakupata bia jioniVery byutful, na kuna utulivu haswa. Hizi picha camera tu haijapatendea hakiView attachment 1821686View attachment 1821687View attachment 1821689View attachment 1821691
Utajuta...wako pair pair... vinaoga uwii[emoji3]
Vipi kuhusu mzunguko wa pesa, naamanisha kufanya biashara morogoro mjini
Mji wowote ambao chakula kiko kingi hakunaga mzunguko...Vipi kuhusu mzunguko wa pesa, naamanisha kufanya biashara morogoro mjini
Huwez mkuta mlokole konk kule bwana .maana ni machaka fulani...! Ah...sijui...
😀😀😀 hatari sana...! Yes tunawaachaga wale bata lao!Wacha waenjoy ujana wanachuo teh. Kuna siku niliingia pale Suzzy Restaurant (NSSF), sijui ndiyo ndugu zako walikuwa wamemaliza pepa, walikuwa wengi wanabebishana wenyewe, hawana habari
Maza hali msos bar..never ! Anasema ni machukizo mbele ya BwanaWale walokole toleo la kwanza kwa kweli hawaendi kule
Daaah we jamaa mbingu utaishia kuisikia radio Maria😂Kahumba
Nashukuru kwa picha ila naona niza muda kidogo now kupo cool sana na ile kijani imekolea kweli kweli... Ni sehemu yangu nzuri yakupata bia jioni
Umenipata yaanYeahhh! i know Dina...
Kuku wa limao, unakikumbusha Break Point ya zamani pale opp na Millenium Towers, K'nyama