Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

Kama wahitaji sehemu nzuri za kupumzika na kubariz upepo safi wa mji wa miamba zisizokuwa na mikelele ya hapa na pale hizi zinakufaa:

1. Malaika beach
3. Ryan’s bay
4. Wag hill
5. Antelope
Gold crest pia iko vyema ila tatizo ipo katikati ya mji.
 
Bonasera angalau...na kule nyegezi Kuna sehemu inaitwa Ventura, adventures za kufa mtu, mpaka umpate mtu wa viwanja akuzururishe
 
Ungejaribu kwenda Bundesliga kule Nyasaka
 
Nimefika mwanza jioni hii nikitokea Arusha.Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
Ni Swea jirani kabisa tu na Ziwa Victoria.
 
Nipo Arusha kwa wiki mbili, ndio mara yangu ya kwanza kufika ,leo ni kaamua ni zunguke mida ya jioni baada kutoka kwenye shughuli iliyo nileta.

Daah Arusha kuna madem wakali weupe, wanashape zile moderate ila zimejikata vizuri. Ila nilicho wakubali wanawake wa huku wengi watafutaji kwa mizunguko yangu ya leo tu, nime waona mademu wakali wanapiga mishe za umachinga.
 
Nimefika mwanza jioni hii nikitokea Arusha.Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
Uwanja wa fisi au Makoroboi
Totoz kwa wingi unajivinjari Zaidi ya Lemutuz
 

Nenda cask bar hapo rock city mall
Nenda Bonasera ipo town jiran na Tilapia hotel pia
Malaika hotel,Gold crest
 
Inawezekana uzi wa muda mrefu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mauaji yalitokea pakafungwa
Gold crest ni hapa nyuma ya round about ya samaki? Nimepita hiyo mitaa juzi juzi nikiwa mdogo mdogo to Songwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…