Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

Hamna kitu mle maaana bado kuna kitu ni lazima wafanye kutoka West ili apate app zao
M

Zee baba mbona unakuwa mbishi Huwawei walishabigwa ban kutumia android system saiz wanatumia system yao Ina os harmony imezinduliwa mwaka Jana July mpaka sasa Ina users 200million😄
 
Hamna kitu mle maaana bado kuna kitu ni lazima wafanye kutoka West ili apate app zao
Mzee baba mbona unakuwa mbishi wameshapigwa ban zote Wana app zao hivi mnachukuliaje mchina mtu ana tengeneza artificial sun hasindwe kutengeneza app
Aya bhana wa Baidu mbadala wana Google , we chart mbadala wa wattsapp, touku mbadala wa YouTube na mengine mengi
 
Kama huo ndio ukweli, kwanini marekani aliiwekea vikwazo huawei kuuza simu zake USA na isitumie software ya android?

Tudanganyike kwa machache. Mengi yako wazi
 
M
Kama huo ndio ukweli, kwanini marekani aliiwekea vikwazo huawei kuuza simu zake USA na isitumie software ya android?

Tudanganyike kwa machache. Mengi yako wazi
Mzee baba unafahamu Huwawei alimpita I-phone kwenye mauzo ya simu duniani na kushika namba mbili nyuma ya Samsung pia unafahamu Huwawei ndio Alie introduce 5G duniani hii ndipo bifu lilipoanzia na Trump kutengeneza zengwe kwamba Huwawei inachunguza wateja na serikali ya marekani ikapelekea mtoto wa boss wa Huwawei kukamatwa Canada na marekani wakaipiga ban Huwawei pia wakaamuru makampuni ya kimarekani kuondoa huduma zao kwenye Huwawei ikiwemo Google ata tiktok kampuni ya china ilikuwa inaelekea kufanyiwa hicho kitu
 
Hamna kitu mle maaana bado kuna kitu ni lazima wafanye kutoka West ili apate app zao
HarmonyOS-smartphoe.jpg

Screenshot_20220518-232037.jpg

Screenshot_20220518-232407.jpg

Screenshot_20220518-232541.jpg
 
View attachment 2229895
Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA.

Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA kama Twitter, fb, YouTube, Google, etc,etc. Kwa hiyo mchina hapo anatengeneza lihousing tu Hilo na asilimia kubwa ya hela inapelekwa Kwa hayo makampuni Kwa sababu anaingia nao mkataba na yeye anapata kidogo tu.

Ndiyo maana hayo makampuni ni tajiri na hao wenye hayo makampuni ndio wanaongoza Kwa utajili Duniani.

Msidanganyike Kwamba mchina anatengeneza SIMU. Ni uongo. Hizo Tecno return yake kubwa INAENDA USA.

Kwa hiyo watu wengi hawajui. Na SIMU ni hizo application programs, hardware ni Kwa sehemu tu.
usikasirike wakikuambia ni propaganda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa ni mtu mjinga snaa endelea kujifunza naona umekuja kunikunyata uku baaada ya dada zako kijisalimiasha nikukunbushe Tu Huawei alikuwa anaenda kuwatoa sumsung na iPhone na kuwa kinara WA simu zake kuuzwa sana duniani naonaa Marekani akatafuta sababu akaweka vikwazo ili kumshusha Ila Jambo la muda Tu atarudi chini uyoo mewenu
kwann uwekewe vikwazo na utetereke iwapo unajitegemea asilimia.kubwa

Kumbe Samsung inatengenezwa China, sikujua.

Halafu umeandika uomgo mkubwa hapa. Hakuna kampuni inayotengeneza simu ikalipia eti hizo apps kuwa kwenye simu na mara nyingi sio stock apps anakuja kuziweka mtumiaji mwenyewe so ni uongo. Na business model ya hayo makampuni haiko hivyo, hawatengenezi pesa kwa style hiyo, wanatengeneza pesa kupitia matangazo.

Labda useme kulipia patents za technilogy za hardwares.

Narudia hakuna kampuni yoyote ya simu inalipa kwa hayo ma twitterz, fb, sijui nini. Kwanza hayo makampuni yatafurahi apps zao kuwekwa kwenye simu na ndio maana Google anailipa Apple, na Mozilla ili ifanye Google search ndio iwe default search engine kwenye browser na vifaa vyao. Wao hawamlipi Google eti kuitumia kwenye products zao, bali yeye ndio anawalipa.
 
usikasirike wakikuambia ni propaganda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakuongopea na wewe unakubali? Wanalipia patents za hardware sio hizo apps. Kwanza Xiomi analipwa na kampuni ili azifanye hizo apps ziwe stock apps kwenye simu zao na ndo maana simu za wachina zinakuna na bloatwares za kutosha kwasababu wanatengeneza faida kwa kulipwa huko kuliko mauzo ya simu zenyewe.

Kitu ambacho wanalipia ni patents za ubunifu na ziko kwenye hardware. Mambo mengi ya technology za simu utakuta ni Nokia naye Nokia sio Mmarekani, utakuta Siemens, naye si mmarekani, na yapo makampuni ya kimarekani na mwingireza. Hivyo wanalipia patent za ugunduzi sio hizo applications.
Hata matumizi ya android hawalipii maana business model ya google haiko hivyo, wao jinsi wanavyofikia watu wengi ndivyo wajavyotengeneza pesa via matangazo na ndo maana google anataka bidhaa zake ziwe kila mahali, iwe friji, itumie Os yake ili abandike matangazo, iwe sijui speaker, hamlipishi mlaji, analipisha watangazaji
 
Wee jamaa ni mtu mjinga snaa endelea kujifunza naona umekuja kunikunyata uku baaada ya dada zako kijisalimiasha nikukunbushe Tu Huawei alikuwa anaenda kuwatoa sumsung na iPhone na kuwa kinara WA simu zake kuuzwa sana duniani naonaa Marekani akatafuta sababu akaweka vikwazo ili kumshusha Ila Jambo la muda Tu atarudi chini uyoo mewenu
Huawei alishaachana na utengenezaji wa simu baada ya kutiliwa ngumu na Marekani na siku hizi amebadilisha fani anafuga nguruwe 🐷 wewe hujui hilo..😛😛😛
 
Umemkosoa bure Tu jamaa hapo .......wew ndio marinda huna kabisa kama sio akili..........hiyo Huawei vifaa anauziwa na West kuna kitu kinaitwa chip inatoka marekani na Japan mchina bado ajui kutengeneza.....hiyo android system inatoka west .....hiyo Huawei ukiitoa android itakuwa na Sura gani kama sio game la watoto??...usiikosee adabu kabisa I phone maaana kampuni yake ndio yenye mtaji mkubwa kwenye kuwekeza kuliko kampuni yeyote Ile duniani Wanakalibia Dola trillion moja .....kaoge ulale sawa
Jf imekuwa na matahira mno, mtu anaipambanisha Huawei na Iphone na Samsung, mbaya zaidi anamtukana mpaka mtu. Hawa watu wanatumia zile iphone za miaka ya nyuma na samsung za miaka ya nyuma, hawajawahi kugusa simu hasa za hizi kampuni, simu kama Samsung Note 10, Iphone 13 kwenda juu ni mashine zingine hizi.

China yeye ana assemble tu, na vitu vingi teknolojia sio ya kwake ila anaagiza kama unavyosema. Endelea kuwapa darasa vijana wetu bila kuchoka.
 
Unaijua Huawei? Ziulize kampuni za mawasiliano kama Vodacom na Tigo vifaa vyao vingapi vimetengenezwa na Huawei kisha uje hapa kuandika. Apple anakupa simu na Computer Huawei anakupa full system.
Unazidi kujiabisha aiseee
 
Kwahiyo?

Kama inaenda US au China sisi inatuhusu nini?

Tunachojali ni mawasiliano. Pesa inaenda kwa nani hayatuhusu hata kama inakuja kwako fresh tu.
 
Eti nao wachina wako mbioni kuwa na software zake. Wataunda simu na program zao. Toka watangaze ujio wa hizo bado hawajafanikiwa kuzisambaza. USA kiboko. Wanaona mbali sana. Hivi wanamzoom tu RussiA anavyojikanyaga kanyaga
Wako nae mbali sana, toka mchina ajue anavyonufaika kiuchumi na US na Ulaya. Hataki kabisa ujinga ktk masuala yake ya kiuchumi.
 
Mama weeew umelala Ali JoJo kweli wewe ......Apple inatengeneza vingi sema ni bei Sana.......Kwa mfano wewe najua umezoea TV ya Samsung na Sony na lg na nyingine baadhi.....lakini apple Pia Wana TV wanatengeneza sema ni bei ghali sana
Uyo jamaa msamehe bure, yaani unafananisha ubora wa kampuni kwa mafanikio ya Tz? Hata nguvu kubwa ya manunuzi ya bidhaa hakuna, hata hizi simu nyingi tunanunua matoleo ya chini na refurb, matoleo ya juu hatuna nguvu ya kuyanunua wakati wenzetu wananunua kama sisi tunavyonunua matecno na infinix kkoo.
 
Kama huo ndio ukweli, kwanini marekani aliiwekea vikwazo huawei kuuza simu zake USA na isitumie software ya android?

Tudanganyike kwa machache. Mengi yako wazi
Kama software yake ipo vizuri, kwanini asishike soko la dunia?
 
Tuliosoma software engineering:
asilimia 98 ni software na asilimia 2 iliyobaki ni hardware kwenye vifaa vyote kuanzia kompyuta ,simu janja na n.k

software ndio ina tawala mifumo mingi na watengenezaji wakubwa wa software ni USA ndio maana leo kuna android ambayo imezalisha OS nyingi za andoid.ukija kwenye linux,microsoft,apple na n.k

ndio maana USA anatajilika kwa sababu ya leseni yake
Endelea kujifunza naona Una ruka ruka jua operating system zipo nyingi sana sema Kwa public users zinatumika izi famous sababu ya kujulikana kwao na urahisi WA kutumia miaka hii mitanoo android ataanza kushuka polepole kwenye device zinazotumia system yake
 
Back
Top Bottom