Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- 40 na kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa !
Vijana mnaoishi kingono na wanawake, na wanawake mliowekwa kimada fanyeni mpango mfunge ndoa, si lazma harusi kubwa wala ukumbi, pete ya gold fake ni elfu 20 tu na gauni la mtumba ni elfu 50, mwanaume suti ya kichina elfu 70 kariakoo, mnaoana na "tunda unakula kihalali"