Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

Si useme kama ni ID yako? Kinyume na hapo punguza kiherehere na kujipendekeza.
Duuh umeanza na wewe kuchamba siku hizi...unazeeka vibaya...
Sio vzr kufananisha ID ya mwenzenu na makalio...
Sema ukweli umekuuma mzee wa busara...
Niwe na ID mbili za nini kwani natafuta bwana humu?
 
Wewe mwenyewe umezingua kwa kunishambulia kwa maneno makali. Huyo member unayemtetea ni kichwa maji tu kama lilivyo hilo jina lake. Na kama hufahamu, siku ukiingia kwenye 18 ataishia tu kukutukana.
 
Kumbee mi mgeni humu....toka october 29 sikuwepo so nimeona mnamshambulia na hyo Makebo yake....okey sawa kama ndivyo ilivyo..mtajuana wenyewe wanaume
 
Mimi mwenyewe ilitokea tu baada ya kuwauliza baadhi ya members kumhusisha hilo jina na makalio! Wala sinaga utaratibu wa kumshambulia mara kwa mara. Thats why nilitaharuki uliponishambulia kwa makombora ya masafa marefu (Long Range Missiles).
 
Bwana mbona hata sio sana jamani basi tuu ulipanick
 
Back
Top Bottom