Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

Ratio haijakaa sawa hizi.. Rost au Kavu?
Mmezoea kitimoto nusu ndizi 2
Kitimoto na ndizi nimeielewa juzi, nilikua siwezi kula kitimoto na ndizi ila chips au ugali.

Hapo iwe kavu.
 
eishiiiiii kumbe hajatuma hata senti?, wee wakishua kwanini ulete masikhara kwenye sasampa
Ati huyu hanidanganyi: Sasampa ni neno la Kiswahili linalotumiwa kuelezea kitu ambacho hakina mpangilio, kimesambaa vibaya, ni cha ovyo, au hakina ubora/mtindo wa kueleweka.
 
Hii ya kushikana makalio mbele ya kadamnasi naona km haijakaa poa, kwa mtazamo wangu lakini.
Msinifokeee nina kifafa cha ukubwani 😂😂😂😂
Hamna tatizo mkuu, ndio dunia ilivo mambo yana badilika, kwani kosa lake ni lipi, ange amua kuyashika bila ndoa wangempata wapi, lakini kaoa ni halali yake
 

Attachments

  • Screenshot_20260901-091159.jpg
    Screenshot_20260901-091159.jpg
    72.2 KB · Views: 8
Upendo wa kweli haupo kwenye picha bro
 
Hawawezi, wachache wenye ujasiri , na ukiona mtu kafanya hivyo hadharani hiyo ndoa itadumu sana, kwakuwa ni jambo la furaha kwa mwanamke na halitafutika.
Form one..a.k.a njuka wa mapenz...utapigishwa shot mpk uje kufanya review ya replies huku kutafuta zitakazokufariji
 
Back
Top Bottom