Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Wanawake wengi siku hizi wanaingia kwenye ndoa na matarajio yao, wanaingia kwenye ndoa na michepuko yao, mara nyingi wanawake wanaochepuka ni walikuwa na hao wapenzi wao hata kabla ya kuolewa.Nitolee mifano hai.
Mwanamke anaichokaje ndoa?.
Bila kuingiza Matendo ya mwanaume.
Mimi ni kijana wa makamo. Na nimeshuhudia ndoa nyingi na talaka karibia 7 hivi.
nitakutolea Mifano hai.
Na siku hizi wengi wanaingia kwenye ndoa ili kujionyesha nao wameolewa ila kiuhalisia hawako committed na ndoa yenyewe
Hata mimi ni kijana wa makamo vile vile niko kwenye ndoa for ten years kuna ndoa mbili za rafiki zangu zilitia njiani ni baada ya wanawake kupata pesa kuliko waume zao