Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

Ndoa sio maonyesho, kuna jamaa yangu kaonyesha mbwembwe zote na zile za mlikutana wapi ikawaje ukampenda ndoa baada ya mwaka mmoja chali
Mm ni Muumini wa Anayeitunza ndoa ni Mwanaume.
Wanawake ni wamaliziaji.

Ukiitunza Na mwnamke ataitunza.
Ukiibomoa na Mwanamke ataibomoa.

Ukiona mwanamke anaimalizia kuivunja ndoa, jua mwanaume alishaivunja siku nying nyuma.

Tuwe Viongozi na Wanaume bora kwenye Familia zetu. Ndoa zinadumu.
 
win-one mbona kama huyu ni husband material🤔
 
Wapo walioshikwa makalio, wengine romance na zikafa kibao acha uwongo we bibi wa makamo
 
Mm ni Muumini wa Anayeitunza ndoa ni Mwanaume.
Wanawake ni wamaliziaji.

Ukiitunza Na mwnamke ataitunza.
Ukiibomoa na Mwanamke ataibomoa.

Ukiona mwanamke anaimalizia kuivunja ndoa, jua mwanaume alishaivunja siku nying nyuma.

Tuwe Viongozi na Wanaume bora kwenye Familia zetu. Ndoa zinadumu.
Natofautiana na wewe wanaovunja ndoa ni wote wawili kama walivyoianzisha tatizo ni kukosa maono katika kile kinachoanzishwa

Kuna wanawake wanaomba talaka wenyewe kwa sababu za kuichoka ndoa
 
Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa !
View attachment 3660397

Kumbuka Kuna mwamba alikula tunda lako kimasihara, kumbuka Kuna mwamba alimfuata kutoka Mkoa alipo hadi Mkoa mwingine kumgegeda, Kuna mwamba alimtongoza siku hiyo hiyo na kumla tunda siku hiyo hiyo inaitwa one night stand, halafu Kuna mwamba alimkula kisamvu kwa kumpaka mafuta ya nazi, halafu Kuna yule mwamba alimpiga show ya kibabe hadi anaingia kaburini huyo mwamba Kila siku anamkumbuka, halafu Kuna mwamba anamkubaki Sana kiasi Kwamba huyo mwamba Kila aliomba match anapewa fasta yupo radhi kukupeleka wewe likizo ili huyo mwamba ampe game kwa sababu huyo mwamba ana hela au anajua kumfikisha kileleni ikiwemo kuingia chumvini
 
Natofautiana na wewe wanaovunja ndoa ni wote wawili kama walivyoianzisha tatizo ni kukosa maono katika kile kinachoanzishwa

Kuna wanawake wanaomba talaka wenyewe kwa sababu za kuichoka ndoa
Nitolee mifano hai.

Mwanamke anaichokaje ndoa?.
Bila kuingiza Matendo ya mwanaume.

Mimi ni kijana wa makamo. Na nimeshuhudia ndoa nyingi na talaka karibia 7 hivi.
nitakutolea Mifano hai.
 
Kumbuka Kuna mwamba alikula tunda lako kimasihara, kumbuka Kuna mwamba alimfuata kutoka Mkoa alipo hadi Mkoa mwingine kumgegeda, Kuna mwamba alimtongoza siku hiyo hiyo na kumla tunda siku hiyo hiyo inaitwa one night stand, halafu Kuna mwamba alimkula kisamvu kwa kumpaka mafuta ya nazi, halafu Kuna yule mwamba alimpiga show ya kibabe hadi anaingia kaburini huyo mwamba Kila siku anamkumbuka, halafu Kuna mwamba anamkubaki Sana kiasi Kwamba huyo mwamba Kila aliomba match anapewa fasta yupo radhi kukupeleka wewe likizo ili huyo mwamba ampe game kwa sababu huyo mwamba ana hela au anajua kumfikisha kileleni ikiwemo kuingia chumvini

Ukifikiria haya na kuwa na mentality ya namna hii juu ya wanawake Hautaweza kudumu na Mwanamke yoyote.

Bila shaka ww pia una Dada na ndugu zako wa kike.
Na wenyewe wako hivi?.
 
Back
Top Bottom