Wa kawaida tu.wew ni wa kishua?
Vijana wana balaa tena wanalibonyeza kama button za Remote huku nyimbo za Blues zinapigwaKamshika tako mbele ya wazazi🚮
Kesi ishakuwa ngumu 😔😔😔😔.naomba nimjibie😅😜
aiii mshua wako ni mtu poa sana,,, naamini na wew utakua mtu poa kama mshua wako eeehWa kawaida tu.
Ila mshua Hakuwa ana tuharass .
Alafu tuko watoto wanne wote wa kiume.
kwanza mm nilivyomaliza form 4 ,
tulitoka na mshua tukakaa bar na akawa amenunua Kondom na kunifundisha jinsi ya kuvaa na kama nikikosa hela nimwambie.
Na akasema ukiwa na mwanamke usimfiche, mlete tumuone na uwe nae huyo huyo mmoja.
Kwahiyo alishaniandaa nisiogope kuwa na girlfriend.
Nitakuacha apoapo mbele ya wazazi wakoMimi siwezi kukubali! Nitakutoa mikono, nitakwepesha mdomo kwenye kiss na aibu utaona wewe

ametufundisha vingi sana tena kwa Mifano hai.aiii mshua wako ni mtu poa sana,,, naamini na wew utakua mtu poa kama mshua wako eeeh
Chai.Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa !
View attachment 3660397
Sibinywi matako mbele ya wazazi mimiNitakuacha apoapo mbele ya wazazi wako![]()
tumpe maua yake🥰ametufundisha vingi sana tena kwa Mifano hai.
Pia ana nidhamu ya hali ya juu.
yuko pia punctual.
Tumejifunza na kuchota mengi kwake. Ni Mshua bora kwakweli.
Hatutaki
hapan nataka cha pekeangu pekeangu😅 mama hajatufundisha mambo ya kushare😜
umesahau kubold😅Hatutaki
😊😊😊😊 Ndugu yako anataka dau kubwa sana. Si umeona hapo kaweka block kuwa mm muwe wa mtu.eishiiiiii kumbe hajatuma hata senti?, wee wakishua kwanini ulete masikhara kwenye sasampa
na ningumu haswaa, maana aloshika uskani hana utani kabisa😆😊😊😊😊 Ndugu yako anataka dau kubwa sana. Si umeona hapo kaweka block kuwa mm muwe wa mtu.
Hii kesi ni ngumu sana.