Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Ndoa na iheshimiwe na watu wote!Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa !
View attachment 3660397
Alafu hapo ni kushika kwa muda na kuachia. Na Sio tako tu.Kamshika tako mbele ya wazazi🚮
Amen, ubaerikiwe sana . Ila mambo ya kulazimisha michango mtufikirie .Ndoa ni baraka
You are very right, wazazi wanajua binti yao ana libido na homon zime-balance na wanakuwa na uhakika atafurahia tendo.Alafu hapo ni kushika kwa muda na kuachia. Na Sio tako tu.
Kukiss, kiuno naweza shika mbele ya wazazi.
Mm nikiwa na 20 yrs nilimpeleka Mwanamke nyumban kwa washua na tukala nae Lunch .
Nikiwa na 24 yrs mwanamke huyo huyo nilikuwa namkiss mbele ya wazazi. Tena mdomoni.
kwahiyo mm hapo sijaona shida kwa kweli.
Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa !
View attachment 3660397
Dogo ameona ainamie kabisa ili kumgusa Makebo!Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa !
View attachment 3660397
Mimi siwezi kukubali! Nitakutoa mikono, nitakwepesha mdomo kwenye kiss na aibu utaona weweAlafu hapo ni kushika kwa muda na kuachia. Na Sio tako tu.
Kukiss, kiuno naweza shika mbele ya wazazi.
Mm nikiwa na 20 yrs nilimpeleka Mwanamke nyumban kwa washua na tukala nae Lunch .
Nikiwa na 24 yrs mwanamke huyo huyo nilikuwa namkiss mbele ya wazazi. Tena mdomoni.
kwahiyo mm hapo sijaona shida kwa kweli.
Alafu ile ishu ya kuniunganisha na ndugu yako win-one ndio imeshindikana?.Mimi siwezi kukubali! Nitakutoa mikono, nitakwepesha mdomo kwenye kiss na aibu utaona wewe
wew ni wa kishua?Alafu hapo ni kushika kwa muda na kuachia. Na Sio tako tu.
Kukiss, kiuno naweza shika mbele ya wazazi.
Mm nikiwa na 20 yrs nilimpeleka Mwanamke nyumban kwa washua na tukala nae Lunch .
Nikiwa na 24 yrs mwanamke huyo huyo nilikuwa namkiss mbele ya wazazi. Tena mdomoni.
kwahiyo mm hapo sijaona shida kwa kweli.
Hawawezi, wachache wenye ujasiri , na ukiona mtu kafanya hivyo hadharani hiyo ndoa itadumu sana, kwakuwa ni jambo la furaha kwa mwanamke na halitafutika.Kwamba wanaume wengine hawawezi kumshika kama hivyo?