KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ila tukiwa wakweli ni waislamu peke yake wanasali mara tano kwa siku,sasa tusitake baadhi ya mambo yawe sawa kwakuwa tu waislamu wanatengewa sehemu ya ibada basi ikawa shida

Lau kama wasio waislamu wangekuwa nao wanaswali swala tano hapo hakika ingekuwa sio haki

Hata injinia alipomjibu Makonda alimwambia duniani kote waislamu ndio hutengewa sehemu za ibada,ila Makonda alijibu kisiasa tu kuwafurahisha watu angali ukwel anujua kuwa wakristo hawana hizo ibada
Sasa kama wanasali mara 5 what make them special, nani anataka kujua wanacho sali, hadi wawekewe sehemu ya kusali kwenye maeneo ya umma

Uislam ni ugonjwa wa akili
 
Hiyo kwa ajili ya ubishi,lakini kihalisia waislam wanahitaji pahala pa ibada,ibada yao ni hardly dk kumi,na chumba hicho hata myahudi anaweza fanyia ibada,mbona polisi hulinda mikesha ya krismass pasaka lakini hawalindi maulidi na swala ya idd!?..
Tatizo huwezi kufikiri kidhahania.

Tatizo unaishi kwa mazoea na fikra zako zinaishia kwa Waislamu na Wakristo.

Tatizo huelewi kuwa haki ya kuabudu ni ya kila mtu, ni haki ya kibinadamu.

Tatizo huelewi kuwa haki hii haijali unasali mara ngapi kwa siku, wiki, mwezi au hata mwaka.

Tatizo huelewi kuwa haki hii haijali kama unasali kwa sekunde moja au mwezi mzima.

Unaweka hoja irrelevant wakati hoja muhimu ni kwamba ukiruhusu dini moja itabidi uruhusu dini zote (kwa sababu ya fairness ambayo haijali unasali kwa dakika ngapi au mara ngapi) na huwezi kuruhusu dini zote (kwa sababu hata huzijui dini zote ni ngapi na huna nafasi).

Hivyo, suluhisho ni kukataa kujenga sehemu za ibada ndani ya airport. Kwani hapo nje ya airport tu Waislamu na watu wa dini nyingine wameshindwa kujenga nyumba za ibada?

Hapa tatizo si nyumba ya ibada, tatizo ni dini kujionesha yenyewe ina umuhimu kuliko nyingine.
 
Naimani unatamani watu wa imani nyingine nao wachinje machinjio ya serikali badala ya kuwaacha waislam pekee kupewa haki ya kuchinja
 
Mkuu mbona duniani kuna sehemu za sala ndani ya airport?
Na sio wote wanasali humo bali ni wa kuhesabu
Unaweza kukuta mmoja au wawili tu wanasali kwa wakati

Waislam wanaweza kusali bila kusalishwa na mtu na inachukua mda mdogo sana
Wakijenga nje watatokaje kama wapo transit
Watu wa dini zote wakidai haki hii airport nzima itakuwa nyumba za ibada na hapatatosha.

Idadi ya watu wanaosali, muda wanaotumia, hivyo vyote si vitu muhimu.

Kitu muhimu ni fairness, ukimpa haki hii Muislamu, unatakiwa umpe kila mtu, na huwezi kumpa haki hii kila mtu, hivyo kataa kwa wote, kila mtu ajenge nyumba yake ya ibada mwenyewe nje.

Kama ni kitu muhinu sana walio transit watatafuta ruhusa kwenda nje kusali.

Kama si muhimu, watasali wakifika safari.

Kwani, kwa mujibu wa dini yenu, Mungu hajui kuwa kuna watu wanasafiri na sehemu nyingine wanakosa sehemu ya kusali?

Wakiwa ndani ya ndege napo mtataka wajengewe sehemu ya kusali ndani ya ndege?
 
Kazi ya serikali ni kuhudumia watu,watu wanna mahitaji tofauti,ikiwezekana sikukuu za kidini kusiwe na mapumziko,na mapumziko yawe jumatano na alhamisi,pasiwe kabisa na mafungamano ya serikali na dini
Hata kama kazi ya serikali ni kuhudumia watu, lakini kuhudumia watu si lazima serikali ijenge nyumba za ibada ndani ya airport.

Serikali inaweza kuhudumia waumini kwa ku clear nyumba za karibu na uwanja wa ndege na kuacha nafasi kwa madhehebu mbalimbali kujenga nyumba za ibada hapo na kuweka shuttle service ya mabasi kutika ndani ya airport mpaka kwenye hizo nyumba za ibada.

Usilazimishe iwe kwamba nyumba za ibada ziwe katika jengo la airport.

Kila mtu akitaka haki ya kuwa na nyumba yake ya ibada ndani ya airport, airport haitatosha.
 
Naimani unatamani watu wa imani nyingine nao wachinje machinjio ya serikali badala ya kuwaacha waislam pekee kupewa haki ya kuchinja
Natamani dunia isiyo na uchinjaji kabisa.

Kwa hili umekosea.
 
Watu wa dini zote wakidai haki hii airport nzima itakuwa nyumba za ibada na hapatatosha.

Idadi ya watu wanaosali, muda wanaotumia, hivyo vyote si vitu muhimu.

Kitu muhimu ni fairness, ukimpa haki hii Muislamu, unatakiwa umpe kila mtu, na huwezi kumpa haki hii kila mtu, hivyo kataa kwa wote, kila mtu ajenge nyumba yake ya ibada mwenyewe nje.

Kama ni kitu muhinu sana walio transit watatafuta ruhusa kwenda nje kusali.

Kama si muhimu, watasali wakifika safari.

Kwani, kwa mujibu wa dini yenu, Mungu hajui kuwa kuna watu wanasafiri na sehemu nyingine wanakosa sehemu ya kusali?

Wakiwa ndani ya ndege napo mtataka wajengewe sehemu ya kusali ndani ya ndege?
Kuna wakati haya hayahitaji wala mjadala mkubwa
Ukipita airport nyingi duniani sehemu za kuabudu zipo hata kama ni chumba kidogo ambacho ni kwa wote
Mimi nimeona pa kusali kwa wote baadhi ya airport duniani
Kwa hiyo sio kitu kigeni labda walikuze tu
Nilipita transit Doha kwa masaa 17 nilijuta ila kulikuwa na sehemu kubwa ya kusali na wengine walikuwa wamelala humo kwa kuwa ni sehemu kubwa sana
Ila kwa Heathrow na hata hospital kuna multi faith yaani chumba kimoja kwa wote na hakuna wa kulalamika kabisa
Mpaka jew ndani
Screenshot_20240818_115034_Google~2.png
 
Kuna wakati haya hayahitaji wala mjadala mkubwa
Ukipita airport nyingi duniani sehemu za kuabudu zipo hata kama ni chumba kidogo ambacho ni kwa wote
Mimi nimeona pa kusali kwa wote baadhi ya airport duniani
Kwa hiyo sio kitu kigeni labda walikuze tu
Nilipita transit Doha kwa masaa 17 nilijuta ila kulikuwa na sehemu kubwa ya kusali na wengine walikuwa wamelala humo kwa kuwa ni sehemu kubwa sana
Ila kwa Heathrow na hata hospital kuna multi faith yaani chumba kimoja kwa wote na hakuna wa kulalamika kabisa
Mpaka jew ndani View attachment 3073324
Kama nilivyosema awali.

Tatizo la dini ni ubaguzi.

Ukishaweka multi faith hapo utaona ubaguzi unavyojitokeza.

Kila mtu anajimwambafy kuwa dini yake ni bora na yeye ndiye anamjua Mungu wa kweli.

Mmoja atataka kuchoma ubani, mwingine atamkataza na kusema kwa dini yake ubani haufai.

Haya mambo kila mtu ajenge kivyake, nje ya airport.
 
Kama nikivyosema awali.

Kwa bongo labda kama alivyokuwa anaongea mkuu wa mkoa
Ila nchi zingine huoni tatizo hilo kwani unawaza safari tu
Kweli sisi maneno hayaishi
Service zote za motorways wameweka sehemu za kusali 🇬🇧 na hakuna tatizo lolote kila mmoja yuko busy kula na kupumzika
Watu wako na yao ila sisi tuanchunguza na kukosoa sana

Ila watajua wao wanachofanya
 
Tatizo hapa si sehemu ya kusali.

Tatizo ni dini moja kujipa umuhimu wa ku dominate nyingine.
 
Dini za kikristo
Sasa wakristo tuna madhehebu zaidi ya hamsini serikali itajenga vyumba vingapi? Umewahi kujiuliza aingie mfuasi wa mwamposa wakutane na mfuasi wa nabii mkuu hapo hajaingia mkatoliki Wala mfuasi wa nabii Tito unadhani kitatokea Nini hapo ?
 
Natamani dunia isiyo na uchinjaji kabisa.

Kwa hili umekosea.
Suala siyo kutowepo dunia ya uchinjaji,suala ni imani moja kupewa jukumu la kuchinja kitoweo cha wote ambako linafanana na la imani moja kuwa na prayer room airport
 
Hata kama kazi ya serikali ni kuhudumia watu, lakini kuhudumia watu si lazima serikali ijenge nyumba za ibada ndani ya airport.

Serikali inaweza kuhudumia waumini kwa ku clear nyumba za karibu na uwanja wa ndege na kuacha nafasi kwa madhehebu mbalimbali kujenga nyumba za ibada hapo na kuweka shuttle service ya mabasi kutika ndani ya airport mpaka kwenye hizo nyumba za ibada.

Usilazimishe iwe kwamba nyumba za ibada ziwe katika jengo la airport.

Kila mtu akitaka haki ya kuwa na nyumba yake ya ibada ndani ya airport, airport haitatosha.
Hizo njia za shuttle si zitajengwa na serikali!!..sisi wapagani tutajisikiaje hazina kujenga njia za shuttle Ili waumini wakafanye ibada!?
 
Back
Top Bottom