Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Kwa hiyo dunia tuhame?
 
Mwandishi yupo sahihi Senma point namba tano imewagusa Sana kwakuwa watu wengi mmefanya attachment na maisha ya duniani.
Kabsa unajua mtu yeyot mweny kureason, ama critical thinker hii kitu hawez kukubaliana nayo , mtu yeyote mwenye uwezo wa kufikir na kureason point 5 👉big no,. Aje na evidence compatible to the community
 
Mwandishi yupo sahihi Senma point namba tano imewagusa Sana kwakuwa watu wengi mmefanya attachment na maisha ya duniani.
Mwandsh hayupo sahihi 100%, mtu yeyot mweny uwezo wa kureason ktu na kukifanyia judgement hawez kukubaliana nacho coz hyo point 5, n weak point, na kisaikolojia ni mbaya sana hii
 
Kabsa unajua mtu yeyot mweny kureason, ama critical thinker hii kitu hawez kukubaliana nayo , mtu yeyote mwenye uwezo wa kufikir na kureason point 5 👉big no,. Aje na evidence compatible to the community


Ukiwa logic lazima ujue kuna siku utakufa is kidding to bealive ur life is immortal.

So the guy Mtibeli is correct.

Then kisaikolojia moja ya therapeutic kwa MTU ambaye yupo stressful na MAISHA huwa tunamkubusha kuwa lazima aweke kiasi maana nothing permanent in this world.
 
Ukiwa logic lazima ujue kuna siku utakufa is kidding to bealive ur life is immortal.

So the guy Mtibeli is correct.
Of course n logic ndogo tu kwel kufa tu ta kufa but unazan ukiweka fikira zako kuw mda wowote utakufa utafanya maendeleo nchin especially ur personal development will u archive ur goals if u stick to point 5? Hii inamaanisha lazma utazembea kufany kaz ukiamin mda wowot utatowek fallacy hiz n mbaya mno , Lets. Think out of the box, Hiz notion zna distort jamii kabsa
 


Mambo na MTU

Mtoa mada Mimi nimemuelewa kuhusu point yake hiyo no 5.

Kwamba tuendeshe mambo Ila mambo yasituendeshe.

Watu makini huwa hawaogopi kifo isipokuwa huwa wanaangalia nini watiachia dunia .

Ila nakubaliana na wewe kikubwa usiogope kifo maana nothing last in this entity.

Kikubwa wekeza nguvu na maarifa kuangalia baada ya kuondoka utakumbukwa kwa jambo gani
 
Mwandsh hayupo sahihi 100%
kifo

tukio au tendo la kufikia mwisho wa uhai; uangamiaji

mtu yeyot mweny uwezo wa kureason ktu na kukifanyia judgement hawez kukubaliana nacho coz hyo point 5, n weak point, na kisaikolojia ni mbaya sana hii
Wewe ndiyo uwezo wa kufikiri umekuwa mdogo. Duniani tunapita, unatakiwa ufanye uwekezaji na hujakatazwa kufanya huo uwekezaji. Ukifikiri kwa makini ni uwekezaji wa kuumiza wengine!

Yaani watu wengi wanaumia kupitia uwekezaji wako na unahisi wewe ndiyo utabaki duniani na wengine wanastahili kifo! Huku ni kujidanganya!
 
Kisaikolojia a person should be motivated to invest some amount in marketing not in the world investment such as building house, and so far,

Unawekeza kias chake ikiwa ni kwenye biashara (business) knaitw risk management kuepuka kucollapse mtaj wote issue ni u have capital kwann usijenge uwezavyo, kwann usiweke kampuni za kutosha coz u have already earned capital through business, na pesa ipo ya kutosha ,.

Au mnachanganya mambo kna kuwekeza kwenye biashara ambapo unashauriw kuwek nusu ya capital yako ambayo inaitw risk management na kna mtu biashara zake zmetiki kama kna elon musk, mo, bakhresa that's why wanawekeza kwa wingi company mbali mbali kwa kias kikubw hapa kawekeza dunian , au nyie uwezo wakufikir ukoje e?
 


Umezungumzia mambo ya uchumi and not psychological issues.

Sehemu zote umepatia lakini ulipokosea ni kuipinga point namba tano ya mtoa mada.
 
😂😂 sasa wewe, kufa tutakufa lakin unapofanya struggles za maendeleo yako kumbuka unakuw unatmia strategies mbali mbal kufikia malengo , then ukishafkia automatically unajkuta umewekeza ktu kingene sasa unamaendeleo utajizuia kuwekeza e? HIYO NI LAZYNESS na ukiwa na notion kama hizi huwez kupata maendeleo kuwa na imani 😂😂 Kasome UNDHCR,,, Asee cjajua uelewa wako kna uwezo wa kufikiri na kung'amua mambo kasome critical thinking, katafute vtu vnaitw fallacy, judgement, reasoning halaf uje na hoja iliyoshiba, Nadhan uwezo wako wa kung'amua mambo na kufikir n mdogo
 
Inaonekana ni mvivu wa kusoma,inamfaa zaidi akajikita instagram huko maarifa ya kusoma ni madogo kuliko kuona mapichapicha! Huku kunahitaji ubongo wenye kudadavua wa herufi.
 
Hapa ndo umenena 100%, u are a critical thinker 🤝🤝🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…