Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Watu wenye mentality kama yangu ndio waliofanikiwa Duniani kwa sababu wanaojua Ukweli na hawapendi kujidanganya.

Alafu lazima uelewe Mimi sio wakwanza kusema hayo wapo watu wakubwa walionitangulia waliowahi kuwa na mawazo kama haya.

Punguza hasira tuzungumze huu utopolo mdogo ulioweka kwenye hii mada yako.

Mimi ni mtunzi, wewe ni msomaji upo hapa kwaajili yangu. Kujadili mawazo yangu kwa kuyakataa au kuyakubali
 
Majority wanajali Wamechumia nini Tumboni. The rest is non of their bussness
 
Naunga mkono hoja yako.
 
Mimi ni mtunzi, wewe ni msomaji upo hapa kwaajili yangu. Kujadili mawazo yangu kwa kuyakataa au kuyakubali
Kwa mentality hii ndio unajiita una mafanikio. Kwamba kijana lazima ukubali kukosolewa you can not reach hayo mafanikio unayatamani with such mindset. You still have time to change usijikute mjanja eti mi mwandishi upo hapa kwa ajili yangu..!!!.. SMHπŸ˜‚
Watu wenye mentality kama yangu ndio waliofanikiwa Duniani kwa sababu wanaojua Ukweli na hawapendi kujidanganya.

Alafu lazima uelewe Mimi sio wakwanza kusema hayo wapo watu wakubwa walionitangulia waliowahi kuwa na mawazo kama haya.
Kama una mafanikio ni jambo zuri na hongera kwa hilo(japo sijui kwako mafanikio unatafsiri vipi?) Ila ukikosolewa yakupasa ukubali au ukatae kwa hoja usianze michambo na kejeli. Am so older than that bruh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…