Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Usiumie kwakua sisomagi maana naona ndipo ulipokomalia. Zingatia mantiki yangu ambayo ni kuwa unachoandika haki make sense kwa sababu huwezi kumwambia mtu asiwekeze saaana kwenye hii kwa sababu wote tutakufa. Ni kweli tutakufa ila fikiria kama kila mtu angekua mentality kama yako dunia hii tungekua wapi?
Watu wenye mentality kama yangu ndio waliofanikiwa Duniani kwa sababu wanaojua Ukweli na hawapendi kujidanganya.
Alafu lazima uelewe Mimi sio wakwanza kusema hayo wapo watu wakubwa walionitangulia waliowahi kuwa na mawazo kama haya.
Punguza hasira tuzungumze huu utopolo mdogo ulioweka kwenye hii mada yako.
Mimi ni mtunzi, wewe ni msomaji upo hapa kwaajili yangu. Kujadili mawazo yangu kwa kuyakataa au kuyakubali