Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Usiumie kwakua sisomagi maana naona ndipo ulipokomalia. Zingatia mantiki yangu ambayo ni kuwa unachoandika haki make sense kwa sababu huwezi kumwambia mtu asiwekeze saaana kwenye hii kwa sababu wote tutakufa. Ni kweli tutakufa ila fikiria kama kila mtu angekua mentality kama yako dunia hii tungekua wapi?

Watu wenye mentality kama yangu ndio waliofanikiwa Duniani kwa sababu wanaojua Ukweli na hawapendi kujidanganya.

Alafu lazima uelewe Mimi sio wakwanza kusema hayo wapo watu wakubwa walionitangulia waliowahi kuwa na mawazo kama haya.


Punguza hasira tuzungumze huu utopolo mdogo ulioweka kwenye hii mada yako.

Mimi ni mtunzi, wewe ni msomaji upo hapa kwaajili yangu. Kujadili mawazo yangu kwa kuyakataa au kuyakubali
 
Mambo na MTU

Mtoa mada Mimi nimemuelewa kuhusu point yake hiyo no 5.

Kwamba tuendeshe mambo Ila mambo yasituendeshe.

Watu makini huwa hawaogopi kifo isipokuwa huwa wanaangalia nini watiachia dunia .

Ila nakubaliana na wewe kikubwa usiogope kifo maana nothing last in this entity.

Kikubwa wekeza nguvu na maarifa kuangalia baada ya kuondoka utakumbukwa kwa jambo gani
Majority wanajali Wamechumia nini Tumboni. The rest is non of their bussness
 
Pointi yako namba 5 haina ukweli.

Kila mtu angewekeza na kufanya kwa kiasi hapa duniani sidhani kama tungefanikiwa kupata maendeleo makubwa na vitu vikubwa ...

Kama uwezo upo fanya kila kitu to the fullest.

Usipowekeza duniani hakuna sehemu nyingine ya kuwekeza.

Wanasayansi kama kina Nikola Tesla, Isaac Newton, Albert Einstein, Michael Faraday n.k

Wasinge wekeza muda, nguvu na maarifa yao ya kutosha, Leo hii tusingekuwa na maendeleo haya makubwa ya sayansi na teknolojia.

Wazazi wa Mo Dewji, Wasinge wekeza nguvu za kutosha kutafuta mali na utajiri leo hii Mo Dewji angekuwa mtu wa kawaida tu, Apeche Alolo kama raia wengine.

Kila mtu awekeze vya kutosha hapa duniani ili kizazi chake kifaidike na uwepo wake hapa duniani.
Naunga mkono hoja yako.
 
Mimi ni mtunzi, wewe ni msomaji upo hapa kwaajili yangu. Kujadili mawazo yangu kwa kuyakataa au kuyakubali
Kwa mentality hii ndio unajiita una mafanikio. Kwamba kijana lazima ukubali kukosolewa you can not reach hayo mafanikio unayatamani with such mindset. You still have time to change usijikute mjanja eti mi mwandishi upo hapa kwa ajili yangu..!!!.. SMH😂
Watu wenye mentality kama yangu ndio waliofanikiwa Duniani kwa sababu wanaojua Ukweli na hawapendi kujidanganya.

Alafu lazima uelewe Mimi sio wakwanza kusema hayo wapo watu wakubwa walionitangulia waliowahi kuwa na mawazo kama haya.
Kama una mafanikio ni jambo zuri na hongera kwa hilo(japo sijui kwako mafanikio unatafsiri vipi?) Ila ukikosolewa yakupasa ukubali au ukatae kwa hoja usianze michambo na kejeli. Am so older than that bruh.
 
Back
Top Bottom