Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 265
- 203
Pole sana ndugu usiache kazi komaaKwenye taasisi yetu Nilikuwa best performing staff of the year_ 2023. Kwa Sasa Nimetengwa na watu wote na nafanyiwa vimbwanga vya Kila namna Hadi ofisi imekuwa chungu kwangu Hadi natamani niache kazi.
Ajabu wao ndiyo walinipigia kura za kupewa hiyo certificate of award. Kwa ufupi napitia mambo mazito.