APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Law # 4:Kosa kubwa nililofanya ni kwenye story zangu niliwaeleza background ya maisha yangu. Naona wanatumia taarifa hizo kunikosesha amani
Always say less than necessary. (The 48 Laws of power)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Law # 4:Kosa kubwa nililofanya ni kwenye story zangu niliwaeleza background ya maisha yangu. Naona wanatumia taarifa hizo kunikosesha amani
Waungwana,
Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku.
Ni sehemu tunamoonesha utendaji kazi ili kiuweza kumshawishi boss akupe bonus kama ni kiwandani na kadhalika lakini kama ni hospitalini boss hakai hapo, kama ni shuleni boss hakai hapo sana sana hapo wamejaa machawa na watu ambao wanaumbea asikuambie mtu.
Ni sehemu za kutendea haki, tuishi lakini ni sehemu za kuogopa sana, bianadam unaofanya nao kazi waogope sana. Usiwadharau wala usijipendekeze kwao, kikubwa ni kaa mbali sana viumbe anayeitwa mfanyakazi mwenzio!
Dah kuna watu wana nongwa. Kwetu ilitokea training ya South miezi mitatu Senior Supervisor akampendekeza dogo alieko Intern tena anakaribia kumaliza muda wake.Mimi kuna bossi wangu, tena nimemzidi hadi umri.
Kuna fursa ilijitokeza akaniambia niombe, kumbe na yeye aliomba. Kakosa yeye nimechaguliwa mimi! Ananipangia kazi si mchezo, hadi tarehe yakupaa pipa amenipangia kazi.
nafaa kukumbusha kumbusha kila saa.
Ulaya kuzuri 😜
+ uchawi & ushirikinaChuki
Wivu
Fitna
Majungu
vyote vinapatikana, kwa bei ya jumla na reja reja
Piga kazi kiasi usijitese usijifanye mjinga kuwa busy na mambo yakoNi kweli kazini ni sehemu ya kupiga kazi sana na kujifanya mjinga.
Malizia kabisa hivi mkuu You got no friend in your work placeDo your work, get paid, go back home to your family.
Mama,Waungwana,
Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku.
Ni sehemu tunamoonesha utendaji kazi ili kiuweza kumshawishi boss akupe bonus kama ni kiwandani na kadhalika lakini kama ni hospitalini boss hakai hapo, kama ni shuleni boss hakai hapo sana sana hapo wamejaa machawa na watu ambao wanaumbea asikuambie mtu.
Ni sehemu za kutendea haki, tuishi lakini ni sehemu za kuogopa sana, bianadam unaofanya nao kazi waogope sana. Usiwadharau wala usijipendekeze kwao, kikubwa ni kaa mbali sana viumbe anayeitwa mfanyakazi mwenzio!
Wife alinifundisha falsafa nzuriii na siku zote hupenda kui cement usijenge mazoea sanaa na watu pia wasikujue in & out eg. majirani,kazini, chuoni,shuleniKosa kubwa nililofanya ni kwenye story zangu niliwaeleza background ya maisha yangu. Naona wanatumia taarifa hizo kunikosesha amani
Hii ilinikuta miaka hiyoo bandarini kwenye mambo ya clearing watu wanaongea kiRombo ofisini....aah nilikonda....popote ulipo ma,......... wewe ni fala wachaga mnabagua sana makazini kunae hilo dubwasha labkichaga yan as long as we n mchaga kwake utateleza uwe kabila lengine au mtu tofauti na yeye hakuna rangi utaacha kuona, halaf kwenye idara yangu nimekuta ka circle flan hivi ka kujuana bas naishi as long i dont exist kwa ofisi, bahat ofis yangu imejitenga na wao hii ndio nafuu lakini ningekoma
Ofisi yenu hapo ground flow Left wing nilidhani inaendeshwa kimataifa bwanapopote ulipo ma,......... wewe ni fala wachaga mnabagua sana makazini kunae hilo dubwasha labkichaga yan as long as we n mchaga kwake utateleza uwe kabila lengine au mtu tofauti na yeye hakuna rangi utaacha kuona, halaf kwenye idara yangu nimekuta ka circle flan hivi ka kujuana bas naishi as long i dont exist kwa ofisi, bahat ofis yangu imejitenga na wao hii ndio nafuu lakini ningekoma
Noma SanaUkikaa nao mbali ndio umelikanyaga,njia ni kuwa mnafki zaidi Yao.
Umesema sahihi Mkuu, hapo mchawi ni woga wa kuthubutuFear of tomorrow.... Mnaambizana kuwa mitaani kugumu! Usiache kazi kabla hujapata Kaz mana sijui kufanyaje... Kupata kazi nzuri ukiwa katika Kaz mbaya ni ngumu mana inakubana muda wako. Kama una ka mtaj ka kuzugia unajilipua tu
Moja kwa moja mkuuMalizia kabisa hivi mkuu You got no friend in your work place