Sure.....
Kuna ka-position flan nilikua nako kwa muda wa miezi kadhaa ,kukawa na tufitna na majungu ya hapa na pale .....
Nikaomba kupumzika ,nikakubaliwa na Boss nikae pembeni kutokana na changamoto flan flan binafsi........
Vita ya BAADA ya kuwa out of hako ka-position imekua kubwa kuliko kabla ya kuwa na wakati nikiwa ............🤣🤣🤣🙌
Naunga mkono hoja kwa 100%. Achana nao binadamu achana nao kabisa naomba sana Mwenyezi Mungu niwe na kifua mambo yangu nisiropoke ropoke 🤲 maana najua wapi nilikosea.