Theironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 336
- 903
Wanakuonea husda,so wanatumia karata ya uyatima na kusomeshwa na wasamaria wema,kukuumiza kisaikologia.Moja ya mambo niliwaeleza Niliwaambia wazazi wote walifariki nilisomeshwa na wasamaria wema na nikafanikiwa kuwa kwenye top 10 of form four students kwa mwaka wetu. Sasa hiyo story imekuwa ikijirudia hadi nakwazika yaani
Chapa kazi,hiyo ilikuwa mipango ya Mungu,kumbuka kila mja ana story yake hapa duniani.