think tank01
JF-Expert Member
- Aug 11, 2022
- 270
- 400
Sasa huu ufundi wa manyumba ulio nao Mkuu una ufanyia wapi?Hapa kwa blaza napokaa kuna ujenzi yaani unakuta mafundi wamechafuka hovyo mkuu...
Mi najaribu kufikilia hivi kazi kama hizo kweli kuna kutoboa hapo maana mda wote mchafu mchafu
Unaweza kazi gani wewe?Wapo watakao lima mkuu mi kazi ngumu siwez
[emoji14][emoji14][emoji14]Hapana kuku wanasumbua mi sitaki kuanza kusafisha mabanda ya kuku mara kushika mauchafu yao
[emoji14][emoji14][emoji14]Siwezi ku left mkuu ila mi kazi ngumu hapana...
Nataka kazi za ofisini niwe na gheto kali.
Niwe na iphone
.
Mi napenda kuwa smart
I seeHapa kwa blaza napokaa kuna ujenzi yaani unakuta mafundi wamechafuka hovyo mkuu...
Mi najaribu kufikilia hivi kazi kama hizo kweli kuna kutoboa hapo maana mda wote mchafu mchafu
Magraduate wakukaririfursaaa zipo wapi dunia hii magraduate wengi wapo kitaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siwezi ku left mkuu ila mi kazi ngumu hapana...
Nataka kazi za ofisini niwe na gheto kali.
Niwe na iphone
.
Mi napenda kuwa smart
Kiteto haiko Babati! Waka Kiteto hakuna Wairaq!Kiteto Babati
Hii sehemu nayo kwa kilimo ipo vyedi sana ardhi yake haina usaliti kabisa, kijana ukifunga zipu huku dhidi ya watoto wa kiiraq basi unasiama vyema kabisa.
Mi naweza kazi za ofisini mfano kuchezea kompyuta mkuuUnaweza kazi gani wewe?
Nini mkuu[emoji14][emoji14][emoji14]
Kuna shida mkuu[emoji14][emoji14][emoji14]
Kwani kuna tatizo mkuuI see
Mbona unanicheka mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naona ni sehemu nzuri ya kuagizia vitu , maana nilisikia kuna meli inapiga route mpaka Tanga ....Tanga nimepita juzi tu hapo April.
Meli nyingi zimeanza kupaki seem pataanza kufunguka upya ingawa Taratibu. Ila kama unamtaji wa kutosha kalime katani Tanga.
Hili jina la mafundi manyumba nimelipata kutokana na hali niliyoona kwa blaza ndo mana wakawa wananiita fundi manyumba mana nilikua kila siku nawashauri wawe smartSasa huu ufundi wa manyumba ulio nao Mkuu una ufanyia wapi?
Ili tule wanaume, jasho ni muhimu kutoka.
Computer inachezewa mkuu?Mi naweza kazi za ofisini mfano kuchezea kompyuta mkuu
watu wa kule changamotnm yao sio wawazi kwa watu wakutoka maeneo mengine kama Tanzania visiwani kwani sehemu yoyote akiwa mtu wa kutokea uko hata akiwa huku bara anakuwa mgumu sana kutoa code na kama ni mfatiliaji wa story za biashara za Comoro basi mchongo wa uko anao mzanzibar na ukienda mtu tofauti na wakwao unapigishwa shoti upate hasara,kuwa nao karibuni tkt ujasiriamali wengi wao ni changamotoZanzibar kama sio mvaa msuli mwezao utatengwa kama ukoma, hawataki kumuungisha khafili,.
wewe ni Me au Ke? tuanzie hapo kwanzaMi kazi za nguvu nguvu sitaki... Kuna mda mama alishanikataza mkuu