Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

Hapa kwa blaza napokaa kuna ujenzi yaani unakuta mafundi wamechafuka hovyo mkuu...

Mi najaribu kufikilia hivi kazi kama hizo kweli kuna kutoboa hapo maana mda wote mchafu mchafu
Sasa huu ufundi wa manyumba ulio nao Mkuu una ufanyia wapi?

Ili tule wanaume, jasho ni muhimu kutoka.
 
Kiteto Babati
Hii sehemu nayo kwa kilimo ipo vyedi sana ardhi yake haina usaliti kabisa, kijana ukifunga zipu huku dhidi ya watoto wa kiiraq basi unasiama vyema kabisa.
Kiteto haiko Babati! Waka Kiteto hakuna Wairaq!
 
Hawa motivation speakers wana matatizo sana.
 
Tanga nimepita juzi tu hapo April.
Meli nyingi zimeanza kupaki seem pataanza kufunguka upya ingawa Taratibu. Ila kama unamtaji wa kutosha kalime katani Tanga.
Naona ni sehemu nzuri ya kuagizia vitu , maana nilisikia kuna meli inapiga route mpaka Tanga ....
 
Sasa huu ufundi wa manyumba ulio nao Mkuu una ufanyia wapi?

Ili tule wanaume, jasho ni muhimu kutoka.
Hili jina la mafundi manyumba nimelipata kutokana na hali niliyoona kwa blaza ndo mana wakawa wananiita fundi manyumba mana nilikua kila siku nawashauri wawe smart
 
Zanzibar kama sio mvaa msuli mwezao utatengwa kama ukoma, hawataki kumuungisha khafili,.
watu wa kule changamotnm yao sio wawazi kwa watu wakutoka maeneo mengine kama Tanzania visiwani kwani sehemu yoyote akiwa mtu wa kutokea uko hata akiwa huku bara anakuwa mgumu sana kutoa code na kama ni mfatiliaji wa story za biashara za Comoro basi mchongo wa uko anao mzanzibar na ukienda mtu tofauti na wakwao unapigishwa shoti upate hasara,kuwa nao karibuni tkt ujasiriamali wengi wao ni changamoto
 
Back
Top Bottom