GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dah meseji bora kabisa hii kwa wanachama wa chama cha mateso
 
Yusuf Makamba baba yake wa kufikia kivipi??
 
Muhaya tena? Asee
 
Majimbo yote Tanzania ya vijijini huwa hayana maendeleo na hayatokuja kupata maendeleo
Sasa Makamba anakuaje na akili kama anakaa hapo kutafuna pesa za bure bure tu!
 
Sasa Makamba anakuaje na akili kama anakaa hapo kutafuna pesa za bure bure tu!
Hii nchi hata ungekuwa ww ndo Mbunge hakuna Ambacho ungebadilisha kwakuwa mifumo alioacha Nyerere haijawahi kubadilishwa Ila inaendelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…