Sawa Einstein hakupata A, ila kila alipokuwa alipokuwa na Idea alikuwa anaenda maabara kufanya practically kile alicho kifikiria,haya sasa mfano akitokea mtu kama Einstein hizo idea zake atazifanyia kazi wapi?Hauna kipaji ,elewa maana ya kipaji ...Mjinga kwa wwe unaamini kupata ''A'' ni kipajiπ π .
Kipaji ni asili sio kukaririshwa mshamba wewe ,unataka nyenzo wakati nyenzo kubwa ni akili ....Tesla , Einstein walisoma A masomo gani ?
Wewe unapata A kwenye mifumo ya watu ,akili za Wengine tumia akili kuleta vitu vipya ..
Acha uongo , shule za tech zina maabara za kutosha ..Nyie mlitakiwa kwenda VETA , kiufupi hamna hizo akili mnazoaminishwa kwa sababu nyie ni weusi vipaji vyenu ni kuzaana tu .Sawa Einstein hakupata A, ila kila alipokuwa alipokuwa na Idea alikuwa anaenda maabara kufanya practically kile alicho kifikiria,haya sasa mfano akitokea mtu kama Einstein hizo idea zake atazifanyia kazi wapi?
Mfano hata VETA kuna machine madogo wanashindwa kutengeneza sababu ,vifaa hawana,bajeti ndogo,maabara hazina vifaa vya kutosha na vya kisasa.
Vitu haviibuki kama uyoga,mpaka umeviona jua wamevitengenezea mazingira mazuri,wameweka hela ya kutosha katika kila level,wana maktaba za kutosha zenye vitabu vya kutosha.
π€£π€£πHii ikiruka nauza Figo na Moyo, pesa naipeleka bungeni Dodoma wafanye maendeleo ya kitaifa.
Umeongea vizuri,ila Msalato haipo Morogoro ipo Dodoma, barabara ya kwenda Manyara_Arusha!Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habitΓ© Γ Makerere universite.
BonvenuΓ© de discusio reunΜion
Bro mimi naongea ninacho kiishi na si hizo oya oya zako kama Dotto Magari, najua magumu mengi wanayo yapitia na siwalaumu na ndio maana wanapo pata nafasi kwenda nje ,huwaga wanafanya makubwa.Acha uongo , shule za tech zina maabara za kutosha ..Nyie mlitakiwa kwenda VETA , kiufupi hamna hizo akili mnazoaminishwa kwa sababu nyie ni weusi vipaji vyenu ni kuzaana tu .
Hayo ya wazungu waachieni , jifunzeni kingereza inatosha.
Hii utakuwa Kweli,kuna Jamaa tulisoma nae Mbeya akafukuzwa, ghafla akapata nafasi elboru!Zote zilikufa baada ya kushambuliwa na viongozi wa CCM na wa serikali ambao walipeleka watoto wao mazezeta. Tukumbuke kuna wakati walimu wa Msalato walilalamika kwa kupelekewa watoto wa viongozi wasiojua kusoma na kuandika, hata hivyo hukuna hatua zozote zilizochukuliwa hivyo zikajifia kibudu.
Hizi shule japo nilisoma na mwanangu amesoma laki kiuhalisia zaidi kukutana wanafunzi wenye shauku ya kufanya vizuri kimasomo sehemu moja hakuna strategic plans za kusaidia wanafunzi kwenye innovations, mnaishia kujua ma integral na differential calculus, matrix na madubwasha kibao ambayo kitaa hayana kazi.Shule za kuwadanganyia wananchi
Wangeweka na vyuo maalum vya vipaji kwenye kilimo,viwanda,Sheria nk Labda matokeo chanya tungeyaona.1. Mazingira kwenye hizo shule zina/zilizoitwa vipaji maalumu.
Hizi shule hazina utafauti wowote na shule za kata tulizonazo mitaani. Kwa maana ya style ya ufundishaji, nyenzo za kufundishia na hata aina ya walimu. Ni shule hizi hizi ambazo waalimu wanaoanekana darasani kwa nadra kama kwengine kote.
Hamna jambo ambalo lipo labda kibaha/Mzumbe ukalikosa Minaki au Pugu.
2. Muendelezo
Kama serikali ilitaka kuweza kupata vipaji kutoka kwa hawa wanafunzi walioitwa maalum kungekuwa na program/utaratibu wa kuwaendeleza wanapomaliza shule za sekondari, kwa labda kufadhili masomo yao kwenye taasisi nguli za mataifa yaliyosongambele za masuala mbalimbali kulingana na fani zao, na kuendelea kuwafuatalia kuhakikisha wanarudi nchini kufanya mageuzi kwenye maeneo yao.
Nafanya kazi na watu wametoka kibaha mpaka shule kama feza ni taasisi nzuri , tunalipwa sawa hawana maajabu ..Dodgers kama wao hakuna , kupenda kushindana na excuses kibao ...Ni watu wanajifanya conscious sana kila siku wanataka migomo ila output ya kazi ni zero .Bro mimi naongea ninacho kiishi na si hizo oya oya zako kama Dotto Magari, najua magumu mengi wanayo yapitia na siwalaumu na ndio maana wanapo pata nafasi kwenda nje ,huwaga wanafanya makubwa.
Navijua vichwa vinavyofanya kazi kwenye makampuni makubwa ya IT duniani, nawajua wanao piga kazi kwenye makampuni makubwa ya uchimbaji mafuta.
Huku kwenu matundu ya choo mpaka wafadhili halafu ndio mtengeneze Lab za kisasa.
Inawezekana na yeye mwenyewe kaona bora awe mmarekani ili atumie vizuri kipaji chake.Hii sio Tanzania tu,msome huyu mwana mama anaitwa Sunnita Williams,ana asili ya kihindi lakini leo hii anaipeperusha bendera ya Marekani kwenye anga za juu...Kuna dogo mmoja namjua yupo state anapiga biomedical ila sidhani kama ana mchango wowote kwa taifa anawafaidisha kina trump na wamarekani wengine
Utakuwa wivu unakusumbua,okay hawakukuti hao unaofanya kazi nao? Au wote walio soma hizi shule za vipaji maalum.Nafanya kazi na watu wametoka kibaha mpaka shule kama feza ni taasisi nzuri , tunalipwa sawa hawana maajabu ..Dodgers kama wao hakuna , kupenda kushindana na excuses kibao ...Ni watu wanajifanya conscious sana kila siku wanataka migomo ila output ya kazi ni zero .
Kiufupi hamna maajabu napanda nao daraja , pesa zte tulipwa sawa na wengine ni donw hawanikuti ..
Mshauri arudi nyumbani,Trump katunyima dawa za HIV!Kuna dogo mmoja namjua yupo state anapiga biomedical ila sidhani kama ana mchango wowote kwa taifa anawafaidisha kina trump na wamarekani wengine
Amewanyima..? KivipiMshauri arudi nyumbani,Trump katunyima dawa za HIV!
Soma mada inazungumzia nn halafu andika kutokana na mada husika.Utakuwa wivu unakusumbua,okay hawakukuti hao unaofanya kazi nao? Au wote walio soma hizi shule za vipaji maalum.
Ali perform vizuri alipokuwa ilboru wakamchukua, kwasasa sidhani kama anamawazo ya kurudi tanzagiza ππMshauri arudi nyumbani,Trump katunyima dawa za HIV!
Hata ningekua mimi sirudi, Tanzania majungu mengi facilities za kazi hakuna kila kitu vululuvululu ππmwenyewe kaona bora awe mmarekani ili atumie vizuri kipaji chake
haaahahHa mbon unang aiseeAcha uongo , shule za tech zina maabara za kutosha ..Nyie mlitakiwa kwenda VETA , kiufupi hamna hizo akili mnazoaminishwa kwa sababu nyie ni weusi vipaji vyenu ni kuzaana tu .
Hayo ya wazungu waachieni , jifunzeni kingereza inatosha.