Sekondari za Vipaji maalum takribani miaka 40 tangu kuanzishwa kwake umaalum wake uko kwenye nini? Hatuoni ubunifu wowote

Sekondari za Vipaji maalum takribani miaka 40 tangu kuanzishwa kwake umaalum wake uko kwenye nini? Hatuoni ubunifu wowote

Western Education is a failed project in Africa.
Walichotuambia kuhusu elimu hakina uhalisia matokeo yke tumezalisha wasomi wengi ambao wanategemea ajira..
Vipaj halis havikupaswa kutegemea uwezo wa kukariri darasan...
Leo hii world bank anatoa 900+billion et tujenge vyuo kweli...kwanini asitoe hizo tukawekeza kwenye kilimo na viwanda...
Vipaji vya kweli sio hivyo...tulipigwa
 
Kipaji au Talent ni mada pana sana, na maana yake fundamentally ni kitu ambacho wengi hawana, je ni kitu gani hicho? (I bet kuna Claimer mmoja atasema hiyo ni wrong definition sababu aliyeandika dictionary hakusema hivyo. "I say, learn to think for yourself, idiot.") Wengi wana uwezo(kipaji kwa lugha ya kawaida) wa kuimba lakini wachache ni wanamuziki wenye vipaji kama Michael Jackson. Na hata ukiangalia asilimia kubwa ya maendeleo duniani yalifanywa na watu wachache sana wenye vipaji.

Kitu gani hicho ambacho wengi hawana? Jibu general au fundamental ni "Creativity" au "uvumbuzi" au uwezo wa kuboresha au kutengeneza kitu kipya, chochote kile, kama academically basi mostly "solutions" ili kutatua changamoto yoyote mmoja ameamua kuikabili.

Swali linakuja, je uwezo wa kupata A ya masomo yalioyetengezwa na wengine ni kipaji? Logically, sio kipaji. Sababu kama wengi wanauwezo wa kupata A, maana yake hakuna upekee tena, especially kama hakuna creation yoyote zaidi ya hapo. Hakuna tofauti na waimbaji waliojaa kila kona mitaani. Ni kitu common kinyume na maana ya kipaji. Hata ukiwarundika kwenye chumba kimoja na kubandika neno kipaji mlangoni, haimaniishi wao ni Michael Jackson au miraculously watageuka kuwa hivyo.

As long as hakuna creation basi hakuna kipaji. Ni neno walilochagua kutumia kwa "shule za watu waliopata A."
 
Hauna kipaji ,elewa maana ya kipaji ...Mjinga kwa wwe unaamini kupata ''A'' ni kipaji😅😅.

Kipaji ni asili sio kukaririshwa mshamba wewe ,unataka nyenzo wakati nyenzo kubwa ni akili ....Tesla , Einstein walisoma A masomo gani ?

Wewe unapata A kwenye mifumo ya watu ,akili za Wengine tumia akili kuleta vitu vipya ..
Sawa Einstein hakupata A, ila kila alipokuwa alipokuwa na Idea alikuwa anaenda maabara kufanya practically kile alicho kifikiria,haya sasa mfano akitokea mtu kama Einstein hizo idea zake atazifanyia kazi wapi?

Mfano hata VETA kuna machine madogo wanashindwa kutengeneza sababu ,vifaa hawana,bajeti ndogo,maabara hazina vifaa vya kutosha na vya kisasa.

Vitu haviibuki kama uyoga,mpaka umeviona jua wamevitengenezea mazingira mazuri,wameweka hela ya kutosha katika kila level,wana maktaba za kutosha zenye vitabu vya kutosha.
 
Acha uongo , shule za tech zina maabara za kutosha ..Nyie mlitakiwa kwenda VETA , kiufupi hamna hizo akili mnazoaminishwa kwa sababu nyie ni weusi vipaji vyenu ni kuzaana tu .

Hayo ya wazungu waachieni , jifunzeni kingereza inatosha.
 
Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.

Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.

Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.

Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.

Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?

Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?

Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.

Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.

Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?

Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.

Bonvenué de discusio reun̈ion
Umeongea vizuri,ila Msalato haipo Morogoro ipo Dodoma, barabara ya kwenda Manyara_Arusha!
 
Acha uongo , shule za tech zina maabara za kutosha ..Nyie mlitakiwa kwenda VETA , kiufupi hamna hizo akili mnazoaminishwa kwa sababu nyie ni weusi vipaji vyenu ni kuzaana tu .

Hayo ya wazungu waachieni , jifunzeni kingereza inatosha.
Bro mimi naongea ninacho kiishi na si hizo oya oya zako kama Dotto Magari, najua magumu mengi wanayo yapitia na siwalaumu na ndio maana wanapo pata nafasi kwenda nje ,huwaga wanafanya makubwa.

Navijua vichwa vinavyofanya kazi kwenye makampuni makubwa ya IT duniani, nawajua wanao piga kazi kwenye makampuni makubwa ya uchimbaji mafuta.

Huku kwenu matundu ya choo mpaka wafadhili halafu ndio mtengeneze Lab za kisasa.
 
Hiu
Zote zilikufa baada ya kushambuliwa na viongozi wa CCM na wa serikali ambao walipeleka watoto wao mazezeta. Tukumbuke kuna wakati walimu wa Msalato walilalamika kwa kupelekewa watoto wa viongozi wasiojua kusoma na kuandika, hata hivyo hukuna hatua zozote zilizochukuliwa hivyo zikajifia kibudu.
Hii utakuwa Kweli,kuna Jamaa tulisoma nae Mbeya akafukuzwa, ghafla akapata nafasi elboru!
 
Shule za kuwadanganyia wananchi
Hizi shule japo nilisoma na mwanangu amesoma laki kiuhalisia zaidi kukutana wanafunzi wenye shauku ya kufanya vizuri kimasomo sehemu moja hakuna strategic plans za kusaidia wanafunzi kwenye innovations, mnaishia kujua ma integral na differential calculus, matrix na madubwasha kibao ambayo kitaa hayana kazi.
 
1. Mazingira kwenye hizo shule zina/zilizoitwa vipaji maalumu.
Hizi shule hazina utafauti wowote na shule za kata tulizonazo mitaani. Kwa maana ya style ya ufundishaji, nyenzo za kufundishia na hata aina ya walimu. Ni shule hizi hizi ambazo waalimu wanaoanekana darasani kwa nadra kama kwengine kote.

Hamna jambo ambalo lipo labda kibaha/Mzumbe ukalikosa Minaki au Pugu.

2. Muendelezo
Kama serikali ilitaka kuweza kupata vipaji kutoka kwa hawa wanafunzi walioitwa maalum kungekuwa na program/utaratibu wa kuwaendeleza wanapomaliza shule za sekondari, kwa labda kufadhili masomo yao kwenye taasisi nguli za mataifa yaliyosongambele za masuala mbalimbali kulingana na fani zao, na kuendelea kuwafuatalia kuhakikisha wanarudi nchini kufanya mageuzi kwenye maeneo yao.
Wangeweka na vyuo maalum vya vipaji kwenye kilimo,viwanda,Sheria nk Labda matokeo chanya tungeyaona.
 
Bro mimi naongea ninacho kiishi na si hizo oya oya zako kama Dotto Magari, najua magumu mengi wanayo yapitia na siwalaumu na ndio maana wanapo pata nafasi kwenda nje ,huwaga wanafanya makubwa.

Navijua vichwa vinavyofanya kazi kwenye makampuni makubwa ya IT duniani, nawajua wanao piga kazi kwenye makampuni makubwa ya uchimbaji mafuta.

Huku kwenu matundu ya choo mpaka wafadhili halafu ndio mtengeneze Lab za kisasa.
Nafanya kazi na watu wametoka kibaha mpaka shule kama feza ni taasisi nzuri , tunalipwa sawa hawana maajabu ..Dodgers kama wao hakuna , kupenda kushindana na excuses kibao ...Ni watu wanajifanya conscious sana kila siku wanataka migomo ila output ya kazi ni zero .

Kiufupi hamna maajabu napanda nao daraja , pesa zte tulipwa sawa na wengine ni donw hawanikuti ..
 
Kuna dogo mmoja namjua yupo state anapiga biomedical ila sidhani kama ana mchango wowote kwa taifa anawafaidisha kina trump na wamarekani wengine
Inawezekana na yeye mwenyewe kaona bora awe mmarekani ili atumie vizuri kipaji chake.Hii sio Tanzania tu,msome huyu mwana mama anaitwa Sunnita Williams,ana asili ya kihindi lakini leo hii anaipeperusha bendera ya Marekani kwenye anga za juu...
 
Nafanya kazi na watu wametoka kibaha mpaka shule kama feza ni taasisi nzuri , tunalipwa sawa hawana maajabu ..Dodgers kama wao hakuna , kupenda kushindana na excuses kibao ...Ni watu wanajifanya conscious sana kila siku wanataka migomo ila output ya kazi ni zero .

Kiufupi hamna maajabu napanda nao daraja , pesa zte tulipwa sawa na wengine ni donw hawanikuti ..
Utakuwa wivu unakusumbua,okay hawakukuti hao unaofanya kazi nao? Au wote walio soma hizi shule za vipaji maalum.
 
Acha uongo , shule za tech zina maabara za kutosha ..Nyie mlitakiwa kwenda VETA , kiufupi hamna hizo akili mnazoaminishwa kwa sababu nyie ni weusi vipaji vyenu ni kuzaana tu .

Hayo ya wazungu waachieni , jifunzeni kingereza inatosha.
haaahahHa mbon unang aisee
 
Back
Top Bottom