Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine sijui akili yako huwa unaipeleka wapi. Hili nalo ni jambo la kuandika humu watu walisome na wakubaliane na hoja yako?
Na wengineAskofu Mwamalanga alitoa Siku 3 wale Washauri wabaya kwa Taasisi ya Rais wawe Wamejirudi
Leo ni Siku ya kwanza na tunasikia tetesi ambazo hazijathibitishwa kwamba Sekretarieti ya Bunge imeongea
Ngoja tuone kesho Siku ya pili😄
Mlale Unono!
Na wengine wengi wanakwenda kupisha Ofisi za umma!! Kubwa Lao yeye tutampumzisha kwa heshima 2025Askofu Mwamalanga alitoa Siku 3 wale Washauri wabaya kwa Taasisi ya Rais wawe Wamejirudi
Leo ni Siku ya kwanza na tunasikia tetesi ambazo hazijathibitishwa kwamba Sekretarieti ya Bunge imeongea
Ngoja tuone kesho Siku ya pili😄
Mlale Unono!
Itatokea popote penye tundusasa itakuaje?...si tunasikia kuna baadhi ya wanasiasa wamekula pesa ndefu ya mwarabu?....wataitemaje?.
kuwepo na kampeni ya kugomea hata vipindi vyao wajinga sana hao.Mi binafsi Maulid nimemuunfollow huko twitter
Hayo ni vijimaoni vya sekretariati ya bunge tu na havina impact yoyote kwa utekelezaji wa mkataba uliopo mezani. Serikali ndiyo muhimili uliojichimbia chini zaidi na kwa kuwa uamuzi ulishapitishwa kuipa DPW tenda, basi kazi itaendelea.kama kweli ni kamati ya Bunge imetoa maoni na mapendekezo haya niwape hongera sana.mmeliokoa taifa na janga kubwa
d. Muda wa utekelezaji Mkataba huu haujawekwa bayana, bali Ibara ya 231) inasema kuwa ukomo wa Mkataba huu ni mpaka hapo shughuli zamradi huu zitakapokuwa zimekamilika. Serikali iombwe kutoa ufafanuzikuhusu jambo hili la ukomo wa Mkataba.
maana yake ni mkataba wa milele mpaka Yesu arudipo
Hakuna. Mungu ametukataza kuhukumuhivi hakuna namna Mungu anaweza kufanya hawa kima wakiwa humo ndani ya bunge wakafiamo humo wote tuzike once for all??
LOoooh!View attachment 2698298
Kama unakubali halina umuhimu waulize sasa hiyo sekretariet ya bunge mbona wanaweka petty issues kama concerns.
Lengo ni nini hasa zaidi kuongeza sintofahamu; halafu kwanini timing of their release iwe baada ya mkutano wa Chadema na kipindi hiki kesi inasikilizwa mahakamani.
Kwanini muda huu ndio watoe hayo mapendekezo ya hovyo; halafu karibu hoja zote serikali imeshazijibu tayari.
Ni genge la wahuni tu hilo.
Wacha kuzalau wavuta bangi wewe,wanakuaga na confidence kama wavuta bangi
Ni wakati wa kukaa kimya maana Kila sehemu unaandika upumbavu na takataka[emoji706][emoji706][emoji706]
Mapungufu ya muhuri ila point zipo za kutoshaUvumi tu huo akuna ukweli wowote hapo nyaraka hiyo inamapungufu mengi
LOoooh!
Kumbe tayari ulishajenga 'conspiracy theories' zako tayari ambazo sasa ndizo unazipalilia na kuzirutubisha?
"Petty issues" ni zipi? Nani kathibitisha kuwa ni 'petty issues', wewe?
Kwa hiyo hadi sasa, kwa maoni yako ule mkataba, ambao hapo awali tuliambiwa ni "makubaliano" tu, hauna tatizo lolote?
Na hao CHADEMA sasa ndio wameshikilia taasisi ya bunge?
Kumbe tukiamua tunawezaTumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.
7. Hakuna muda wa mkataba.
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Wewe hapo ulipo unajua ni lini Baraza la Mawaziri walijadili hili jambo, unajua?Nakuwekea tena regulations/taratibu Tanzania iliyojiwekea kwenye kuingia Treaty. Sign sio muhimu sana na yeyote mwenye mamlaka anaweza sign.
Sasa ili kusema huko Dubai nani mwenye mamlaka ya kusaini na wenyewe ni kupitia taratibu zao walizojiwekea sio tunavyofikiri sisi kwa sababu kuna sign ya raisi na kwao lazima iwe ivyo.