Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Wakati mwingine sijui akili yako huwa unaipeleka wapi. Hili nalo ni jambo la kuandika humu watu walisome na wakubaliane na hoja yako?
355F4D37-7B8F-4B47-B3E4-F3110AD3899E.jpeg

Kama unakubali halina umuhimu waulize sasa hiyo sekretariet ya bunge mbona wanaweka petty issues kama concerns.

Lengo ni nini hasa zaidi kuongeza sintofahamu; halafu kwanini timing of their release iwe baada ya mkutano wa Chadema na kipindi hiki kesi inasikilizwa mahakamani.

Kwanini muda huu ndio watoe hayo mapendekezo ya hovyo; halafu karibu hoja zote serikali imeshazijibu tayari.

Ni genge la wahuni tu hilo.
 
Askofu Mwamalanga alitoa Siku 3 wale Washauri wabaya kwa Taasisi ya Rais wawe Wamejirudi

Leo ni Siku ya kwanza na tunasikia tetesi ambazo hazijathibitishwa kwamba Sekretarieti ya Bunge imeongea

Ngoja tuone kesho Siku ya pili😄

Mlale Unono!
Na wengine

Na wengine wengi wanakwenda kupisha Ofisi za umma!! Kubwa Lao yeye tutampumzisha kwa heshima 2025
 
kama kweli ni kamati ya Bunge imetoa maoni na mapendekezo haya niwape hongera sana.mmeliokoa taifa na janga kubwa

d. Muda wa utekelezaji Mkataba huu haujawekwa bayana, bali Ibara ya 231) inasema kuwa ukomo wa Mkataba huu ni mpaka hapo shughuli zamradi huu zitakapokuwa zimekamilika. Serikali iombwe kutoa ufafanuzikuhusu jambo hili la ukomo wa Mkataba.

maana yake ni mkataba wa milele mpaka Yesu arudipo
Hayo ni vijimaoni vya sekretariati ya bunge tu na havina impact yoyote kwa utekelezaji wa mkataba uliopo mezani. Serikali ndiyo muhimili uliojichimbia chini zaidi na kwa kuwa uamuzi ulishapitishwa kuipa DPW tenda, basi kazi itaendelea.

Tuwajulishe tu kwamba kelele za chura hazitaizuia serikali kufanya kazi yake.
 
Muda ni mwingi mnbo kidogo... Huu ni Waraka halali?! Naomba kuelimishwa kuhusu hii Sekretarieti ya Bunge?!?
 
View attachment 2698298

Kama unakubali halina umuhimu waulize sasa hiyo sekretariet ya bunge mbona wanaweka petty issues kama concerns.

Lengo ni nini hasa zaidi kuongeza sintofahamu; halafu kwanini timing of their release iwe baada ya mkutano wa Chadema na kipindi hiki kesi inasikilizwa mahakamani.

Kwanini muda huu ndio watoe hayo mapendekezo ya hovyo; halafu karibu hoja zote serikali imeshazijibu tayari.

Ni genge la wahuni tu hilo.
LOoooh!

Kumbe tayari ulishajenga 'conspiracy theories' zako tayari ambazo sasa ndizo unazipalilia na kuzirutubisha?

"Petty issues" ni zipi? Nani kathibitisha kuwa ni 'petty issues', wewe?

Kwa hiyo hadi sasa, kwa maoni yako ule mkataba, ambao hapo awali tuliambiwa ni "makubaliano" tu, hauna tatizo lolote?

Na hao CHADEMA sasa ndio wameshikilia taasisi ya bunge?
 
wanakuaga na confidence kama wavuta bangi
Wacha kuzalau wavuta bangi wewe,
Ukuvuta bangi kichwa kinatulia naamini kama kungekuwa na watu waliogonga kijiti kungekuwa na utulivu wa kuchambua kifungu kimoja baada ya kingine. Wasingeleta hii takataka mbele ya watanzania.
 
Ni wakati wa kukaa kimya maana Kila sehemu unaandika upumbavu na takataka[emoji706][emoji706][emoji706]

MAJINI Huwa yanawatesa sana mkuu.

Sio kosa lake

Amegeuka ADUI WA Kila mtu HUMU.
JF.

Mi nimebaki kumuhurumia tu.
 
LOoooh!

Kumbe tayari ulishajenga 'conspiracy theories' zako tayari ambazo sasa ndizo unazipalilia na kuzirutubisha?

"Petty issues" ni zipi? Nani kathibitisha kuwa ni 'petty issues', wewe?

Kwa hiyo hadi sasa, kwa maoni yako ule mkataba, ambao hapo awali tuliambiwa ni "makubaliano" tu, hauna tatizo lolote?

Na hao CHADEMA sasa ndio wameshikilia taasisi ya bunge?
8D9322C1-AACA-482D-9B41-6F4490607BFC.jpeg

Nakuwekea tena regulations/taratibu Tanzania iliyojiwekea kwenye kuingia Treaty. Sign sio muhimu sana na yeyote mwenye mamlaka anaweza sign.

Sasa ili kusema huko Dubai nani mwenye mamlaka ya kusaini na wenyewe ni kupitia taratibu zao walizojiwekea sio tunavyofikiri sisi kwa sababu kuna sign ya raisi na kwao lazima iwe ivyo.

689E7B29-96A7-4415-B6E0-BA5420CE5A69.jpeg

Kutokana na taratibu zetu kwa umuhimu wa process signatories, halafu baraza la mawaziri then ratification ya bunge.

Kwanini mtu aulize sign ya nani ipo au aipo wakati regulations zinakwambia ratification ndio hatua muhimu zaidi kushinda sign ya ipo kwenye mkataba. Ata Lissu kalielezea hili bunge ndio kila kitu hizo signs ni petty issues kisheria.

Sasa hiyo sekretariet kama sio kutaka kuleta tafrani ni nini na kujaribu ku contradict wanachoeleza serikali.

Hope ni nyaraka ya kutunga sio ya bunge; vinginevyo ‘Bi Tozo’ anatakiwa kutoka na kichwa cha mtu hapo. Kuna mambo mengine kiongozi anatakiwa kuto yavumilia kabisa moja wapo ni hilo la watu ambao anamamlaka ya kuwatumbua kwenda tofauti na agenda zake, ipo hivyo duniani sio Tanzania tu..
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Kumbe tukiamua tunaweza
 
Nakuwekea tena regulations/taratibu Tanzania iliyojiwekea kwenye kuingia Treaty. Sign sio muhimu sana na yeyote mwenye mamlaka anaweza sign.

Sasa ili kusema huko Dubai nani mwenye mamlaka ya kusaini na wenyewe ni kupitia taratibu zao walizojiwekea sio tunavyofikiri sisi kwa sababu kuna sign ya raisi na kwao lazima iwe ivyo.
Wewe hapo ulipo unajua ni lini Baraza la Mawaziri walijadili hili jambo, unajua?

Huko Dubai akitokea mtu yeyote kasaini na kudai ni mwakilishi, hutaki kujua mtu huyo anao wadhifa gani kwenye serikali yao. Sheria yao ndivyo inavyosema?
hatuna haki ya kutaka kujua na kuridhika na uwakilishi wao?

Hili jambo kbwa kwetu, halafu mtu kama wewe unakuja hapa unasema ni 'petty issue'?

Be serious.
Sometimes you appear to be an intelligent person, but quite often you seem to lose it completely!
 
Back
Top Bottom