Wewe kufeli unalichukuliaje?
IDF huko Gaza misheni zake zote kafeli hajawamaliza Hamas na hajakomboa mateka.
Amebaki kuua tu raia hovyo.
Unajichanganya sasa,nani kakwambia Iran alikua anajivunia silaha za nuclear?
Lini aliunda hizo silaha?
Ripoti zilishasema kuwa mashambulizi ya US na Israel hayajafanikiwa kuharibu mpango wa nuclear wa Iran bali imewarudisha miezi michache nyuma.
Nakuletea ushahidi sasa hivi usijali.