Siku hizi vyoo vya nje vinajengwa na storage kabisa na ontop of it unaweka tank la kuhifadhia maji.Mkuu dist111 upo sawa but master yenye combined choo na bafu hiyo ni gharama bora gharama utakayotumia kujenga bafu kwenye master ukajenge choo nje kwa ajili ya wageni,kiusalama inashauriwa siyo kila mgeni anatakiwa atembee hovyo kwenye nyumba yako wengine wanaweza kuwa wachora ramani ukashangaa usiku unavamiwa na wezi.
mtoa mada anauliza kwanini hizo choo na bafu zisifanye kazi moja? yani hivyo vyumba viwili viwe vyote ni bafu na choo humo humoHebu jaribu kuwa mtulivu kwenye kuelewa hoja. Umejibiwa akija mama mkwe ameenda chooni na wewe unataka ukaoge uende kazini utamgongea umwambie toka mama nataka kuoga??? Halafu jiulize kama nyumba ina watu 8 au 10 na watoto itakuwaje???
NitarudiShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika ujenzi wa kisasa, kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately" katika nyumba ambazo ni self-contained? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?
View attachment 1587202
Yaaani yale yanayofanyika bafuni yafanyike pia kule chooni na yale ya chooni pia yafanyike bafuni.
Kwanini baadhi ya watu hupendelea kuwa na chumba kimoja ambacho kinakuwa na matumizi ya namna zote mbili ila wengine hutenga vumba viwili vikiwa na matumizi mawili tofauti?
WATAALAM WA MASUALA YA UJENZI PAMOJA NA DESIGNING MSIPITE BILA KUTOA UFAFANUZI JUU YA HII TREND.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE.
Sawa mkuuNitarudi
Mkuu mbona ni kawaida master kuwa na bathroom yake? Una maana wewe master bedroom yako haina bathroom yake? Mimi naona ni vizuri kuwa na master yenye bathroom yake na bathroom ingine ya jumuia.
NB: bathroom namaanisha kuna Choo na bafu humo humo.
Sure mkuu!Siku hizi vyoo vya nje vinajengwa na storage kabisa na ontop of it unaweka tank la kuhifadhia maji.
Kama uko vzr zaid unajenga simtank tower ambapo chini kuna choo na store juu yake unaweka reading room na juu kabisa ndo unaweka tanki la maji. Ni uwezo tu, maaidea yako kibao
Sijawahi tumia choo Cha kukaa, naomba nielekezwe namna ya kukitumia!Yaani una maanisha kama hivi? Nafikiri ukiweka squat-toilet kama hicho ktk picha uliyoweka ni heri ujenge hivyo hivyo choo na bafu vijitenge ila ukiweka choo cha kukaa unaweza kuweka bathtub au shower box au ukatenganisha na kioo tu.
Unaweza panda juu alafu ukachuchumaa nakuanza kuachia Mzigo,ukimaliza unashuka alafu kuna kitufe unabonyeza utaona na Mzigo wako nao unakwenda na maji!!Sijawahi tumia choo Cha kukaa, naomba nielekezwe namna ya kukitumia!
mhhhUnaweza panda juu alafu ukachuchumaa nakuanza kuachia Mzigo,ukimaliza unashuka alafu kuna kitufe unabonyeza utaona na Mzigo wako nao unakwenda na maji!!
Haya bhanaSijawahi tumia choo Cha kukaa, naomba nielekezwe namna ya kukitumia!
Kwa kifupi mkuu ujenzi mwingi hapa bongo watu wana copy na Ku paste..
Ukiuliza kwann nyumba nyingi chini wanapaka rangi nyeusi,,au wanapaka rangi tofauti na rangi ya ukuta wa juu ,,majibu hakuna,
Nyumba nyingi ni mfumo wa sketi na blauzi..
Vijana hawa hatari sanaWatu mna maneno jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kupanga ni kuchangua ndugu yangu.Tanzania ardhi ni kubwa kwanini unataka halufu ya mavi na mikojo wakati unaoga
PoaSure mkuu!
Master umeweka choo tu mkuu? Sasa ukitaka kuoga huwa unafanya nini mzee baba?Master nimeweka choo tu mkuu ila public ndo ipo separated bafu na choo,nadhani jenzi nyingi bongo tunafanya hivi tukiamini tunaokoa baadhi ya gharama.
Master nimeweka choo tu mkuu ila public ndo ipo separated bafu na choo,nadhani jenzi nyingi bongo tunafanya hivi tukiamini tunaokoa baadhi ya gharama.
Na mimi nasubiri jibu.Master umeweka choo tu mkuu? Sasa ukitaka kuoga huwa unafanya nini mzee baba?
Kuongezea na pale chooni akaweka bafu!Kwanini hilo bafu pia lisiwe na choo? Huu ndio msingi mkuu wa swali langu.