dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Siku hizi vyoo vya nje vinajengwa na storage kabisa na ontop of it unaweka tank la kuhifadhia maji.Mkuu dist111 upo sawa but master yenye combined choo na bafu hiyo ni gharama bora gharama utakayotumia kujenga bafu kwenye master ukajenge choo nje kwa ajili ya wageni,kiusalama inashauriwa siyo kila mgeni anatakiwa atembee hovyo kwenye nyumba yako wengine wanaweza kuwa wachora ramani ukashangaa usiku unavamiwa na wezi.
Kama uko vzr zaid unajenga simtank tower ambapo chini kuna choo na store juu yake unaweka reading room na juu kabisa ndo unaweka tanki la maji. Ni uwezo tu, maaidea yako kibao