Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Mi naona huu wakutenganisha Ni mfumo mzuri kwa makazi..Kama nyumba Sio ya kupangisha..zakupanga ndo hua na choo na bafu hapo hapoUsumbufu wa ukimaliza huku ndio uingie kule...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona huu wakutenganisha Ni mfumo mzuri kwa makazi..Kama nyumba Sio ya kupangisha..zakupanga ndo hua na choo na bafu hapo hapoUsumbufu wa ukimaliza huku ndio uingie kule...
Mimi nimoja wao..japo baba alinikataza ila nimazoea tyuKuna watu wanatoa haja ndogo bafuni wakati wa kuoga pia ujue...
Huu usumbufu wa ukimaliza huku ndio uingie kule wewe haukuudhi?Mi naona huu wakutenganisha Ni mfumo mzuri kwa makazi..Kama nyumba Sio ya kupangisha..zakupanga ndo hua na choo na bafu hapo hapo
Hahahahaaaa, umenichekeshaaa...Mimi nimoja wao
Na hana haraka yoyote anasoma kabisa gazeti hukoSiku atakutembelea mama mkwe wako yupo chooni na wew unataka kuoga uwahi kazini. Hapo ndo utatamani ujenge bafu separateli
Hehehe ndio mambo hayo. Sijui akishikwa na tumbo la kuhara ataoga mara ngapi.Mwanamke akipata haja anatakiwa aoge?
Shida zipo ukichanganya bafu na choo. Maji ya bafuni yana sabuni ambayo huuwa bacteria wanaobadirisha haja kubwa kuwa maji. Ndio maana kuna tank 2, ya pembe 4 na ya mduara.
Mkuu kama nimekuelewa vizuri;una maana bomba zinazotoka vyooni zielekezwe kwenye tank la pembe nne wakati bafuni na sink za jikoni bomba zielekezwe moja kwa moja kwenye tank la duara?Yanakutana baada ya kinyesi kumeng'enywa kwenye tank la pembe 4 ambalo kwa ndani lina sehemu 2 .
Kutokana na post chache nilizozipitia hapo juu inaonekana kuwa hili ni tatizo haikutakiwa kuwa hivi na hii hutokana na mafundi wetu wengi hawakupitia kusoma au hawaijui science ya majitaka na wengi wetu pia hatujui.Good point but kule nje yale mashimo ya choo (septic na soak away pit) ya mviringo na lile la mstatili mbona yanapokea uchavu wote wa chooni na bafuni?
sawaNadhani hivi vitu vibaki separate.
Jibu hili kidogo lina mantiki kitaalamu.Kwa ujenzi wa kisasa una weka chumba kimoja kwa taka za ndani ya mwili kinyesi na mkojo na za nje kuoga kupiga mswaki n.k angalizo kama hauna hela za kutosha ni bora ukajenga kwa kutenganisha kwa sababu maji ya taka ya nje mwili na manisha yenye sabuni na kemikali kama shampool zina weza kuingia kwenye sinki la choo na kupelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka ni hayo tu
Uko sahihi mkuu.Aisee maada nzuri sana hii, hata mimi kiukweli sion haja ya Kujenga choo na bafu kwa kutofautisha, hapo inatakiwa choo na bafu viwe chumba kimoja ila kama utataka kuwe na vyumba viwili basi kila chumba kiwa na choo na bafu humohumo kwani matumizi ni yaleyale, haiwezekani unaingia hiki kwa matumizi mengine halafu ukimaliza unatoka na kuingia chumba kingine kuoga huo ni usumbufu usio na maana....
Hapa nimepata hilo wazo punde hiki chumba cha bafu humu ndani nitamuita Fundi tujadiriane ili ikiwezekana kilekebishwe kiwe kinatoa huduma zaidi ya moja
MARAHABAShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika ujenzi wa kisasa, kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately" katika nyumba ambazo ni self-contained? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?
View attachment 1587202
Yaaani yale yanayofanyika bafuni yafanyike pia kule chooni na yale ya chooni pia yafanyike bafuni.
Kwanini baadhi ya watu hupendelea kuwa na chumba kimoja ambacho kinakuwa na matumizi ya namna zote mbili ila wengine hutenga vumba viwili vikiwa na matumizi mawili tofauti?
WATAALAM WA MASUALA YA UJENZI PAMOJA NA DESIGNING MSIPITE BILA KUTOA UFAFANUZI JUU YA HII TREND.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE.
Hahahahaaaaa mkuu umenichekesha sana...nikiamka kwenda kuoga huwa namaliza kila kitu humo humo,nitaanza kuswaki kisha nakata gogo
Hahahahaaaaa mkuu umenichekesha sana...
Ivi mama mkwe ni nani mpaka mnamwogopa ivi? yani ushaoa, lakini bado hujiamini!Siku atakutembelea mama mkwe wako yupo chooni na wew unataka kuoga uwahi kazini. Hapo ndo utatamani ujenge bafu separateli
Mbona siku hizi tunajenga tu hivo, unakuwa na 2 combined choo na bafu, instead ya choo na bafu separately.
Hii inafaa kama unanyumba ya watu wengi ila kama ni 3bedroom house unaweka tu 1combined choo na bafu na master pia yenye combined choo nabafu
Hakika mkuu una haki ya kuitikia na very soon utaingizwa kwenye rekodi za dunia....MARAHABA
Mkuu mbona ni kawaida master kuwa na bathroom yake? Una maana wewe master bedroom yako haina bathroom yake? Mimi naona ni vizuri kuwa na master yenye bathroom yake na bathroom ingine ya jumuia.Mkuu dist111 upo sawa but master yenye combined choo na bafu hiyo ni gharama bora gharama utakayotumia kujenga bafu kwenye master ukajenge choo nje kwa ajili ya wageni,kiusalama inashauriwa siyo kila mgeni anatakiwa atembee hovyo kwenye nyumba yako wengine wanaweza kuwa wachora ramani ukashangaa usiku unavamiwa na wezi.