Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna vitu vingine havina maana kabisa. Yan mtu uangaike na geo location plus picha ilipigwa saq ngap. Labda intelligence ya siasa..

Sisi tunaoshida mmu chictchat na cerebrite hatuna wasiwasi hata tukijulikana.
Kitambulisho chenyewe cha mpiga kura hauna nani atahangaika na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa kabisa..mimi huu nauchukulia kama mitandao mingine tu ,sina mda wakwenda siasani kwenda kuanza kutukanana na watu au viongozi,kwanini niishi kwa kujihami kama mwizi??
Mtu mwenyewe hadi dp unaweka sura yako jina la humu ndo jina la instagram na facebook.
Maisha mafupi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…