Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena nyie wanaume ndo rahisi sana sura nzuri kwenu sio big deal sasa sie ni balaa, package iwepo, camera nzuri, pozi kali na background kali

Pics nyingi humu ni uwe na karangi, ngozi nyororo, ushape flani hivi vinginevyo hata like hupati sasa kukuta ke anapackage yote hiyo ni nadra sana

Bora tuendelee kubana huku nyuma ya keyboard
Haya mambo ya Selfie yanahitaji confidence na Reception nzuri pia ambayo ni attractive

Wenye Reception za kina Masoud sura mbaya na Remmy ongala tutakuwa observer kama us kwenye World war
 
Na mimi niliwahi kumbishia mtu kwamba ulezi (ukiwa shambani) ni mchele.
Nilimbishia hadi akavunja urafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…