Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nisaidie kushanga.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Picha yangu hiyo.
Ungepost ya hivi hata wasingejisumbua kulike wala kugoogle. Wangeamini ni wewe na wangefunga kurasa kwa kusema jf wadada ni wabaya.
lizzie-velasquez%20(1).jpeg
 
Tena nyie wanaume ndo rahisi sana sura nzuri kwenu sio big deal sasa sie ni balaa, package iwepo, camera nzuri, pozi kali na background kali

Pics nyingi humu ni uwe na karangi, ngozi nyororo, ushape flani hivi vinginevyo hata like hupati sasa kukuta ke anapackage yote hiyo ni nadra sana

Bora tuendelee kubana huku nyuma ya keyboard
Haya mambo ya Selfie yanahitaji confidence na Reception nzuri pia ambayo ni attractive

Wenye Reception za kina Masoud sura mbaya na Remmy ongala tutakuwa observer kama us kwenye World war
 
Umenikumbusha tukiwa wadogo tulikuwa tunachagua magari barabarani. Mnakubaliana itakayokuja ni ya huyu, itakayofata ni ya mwingine.

Sasa kuna muda linakuja gari zuri sana mnaligombania, na ngumi zinapigwa, mtu akiuliza kwa nini mnagombana yule mwenye haki anasema wanataka kuninyanganya gari langu…!
Na mimi niliwahi kumbishia mtu kwamba ulezi (ukiwa shambani) ni mchele.
Nilimbishia hadi akavunja urafiki.
 
Back
Top Bottom