Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu hiyo avatar yako kila nikiiona naitafakari ila sijawahi kuipatia jibu ni kwamba hiyo sura ndiyo imechorwa kwenye hivyo vidole au hivyo vidole ndiyo vimechorwa kwenye hiyo sura??
Aisee hiyo sare ya jeshi umeifanya njunga unatamba nayo popote tu, sasa siku nikukamate usijesema wanajeshi wakorofi
 
Sijakataa

Wote waliopost pics zao humu hasa wadada ni tumejiamini na kujilipua sio kazi ndogo hiyo na visu vimo vya kutosha,, yawezekana camera, background zinafanya waonekane local

Binafsi nimefarijika sana na huu uzi jf kuna warembo na naamini wengi tu hawajajipost

Sasa mkianza hii ya huyu ni quality ya huyu sio tutazitafuta za kudownload au tutaona haya kujipost

Hakuna mashindano ndugu yangu...ila kizuri kinapewa sifa zake... Hata wewe lazima kwenye hizi picha kuna mtu umemuelewa kuliko wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…