Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila umekamilika aiseeSijakataa
Wote waliopost pics zao humu hasa wadada ni tumejiamini na kujilipua sio kazi ndogo hiyo na visu vimo vya kutosha,, yawezekana camera, background zinafanya waonekane local
Binafsi nimefarijika sana na huu uzi jf kuna warembo na naamini wengi tu hawajajipost
Sasa mkianza hii ya huyu ni quality ya huyu sio tutazitafuta za kudownload au tutaona haya kujipost
Ila umekamilika aisee
Ninyi wanaume mnaopost viatu mbona sijaona japo mwenye Balenciaga jamani??
Naunga mkono hoja
Kwani kuna shindano gani hapa muheshimiwa jaji?
Kila mtu ako na uwezo na life style yake
Ila umekamilika aisee
Mkifikia makubaliano mlete mrejeshoSijaandika hivyo ili ndo unisifie,, njoo pm tusifiane vizuri
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Sijaandika hivyo ili ndo unisifie,, njoo pm tusifiane vizuri
Mkifikia makubaliano mlete mrejesho
Hahahahaha umenipata wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mishipa situmii best hahahaha
Pm yako si umefunga?Sijaandika hivyo ili ndo unisifie,, njoo pm tusifiane vizuri
Hakuna mashindano ndugu yangu...ila kizuri kinapewa sifa zake... Hata wewe lazima kwenye hizi picha kuna mtu umemuelewa kuliko wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata kuutizama tuu
Picha ni kali kweli lakini haimaanishi kuwa wengineo ni hamna kitu kabisa kabisaEmbu nitag kwenye hiyo picha aiseee hawa ndo watetezi wetu humu jf mkianza kutunanga kuwa hatuvutiii na kadhalika.
Hahaha pm zimefungwa na solexMkifikia makubaliano mlete mrejesho
Pm yako si umefunga?
Picha ni kali kweli lakini haimaanishi kuwa wengineo ni hamna kitu kabisa kabisa