Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijakataa

Wote waliopost pics zao humu hasa wadada ni tumejiamini na kujilipua sio kazi ndogo hiyo na visu vimo vya kutosha,, yawezekana camera, background zinafanya waonekane local

Binafsi nimefarijika sana na huu uzi jf kuna warembo na naamini wengi tu hawajajipost

Sasa mkianza hii ya huyu ni quality ya huyu sio tutazitafuta za kudownload au tutaona haya kujipost
Ila umekamilika aisee
 
Back
Top Bottom