Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
1569774869080.jpeg
1569774909614.jpeg
 
@cresida natoka mutu anaingia mutu wa kuendeleza sebene love you hannah
Huyu anatuona sisi wajinga hatuwajui wanaume kamili.
Eti kiganja cha mguu kitumike kuona picha nyingine huku ni mbaya. Kiganja cha mguu tuu unajuaje mtu ana swaggs?
Nimeshangaa sana aina ya wanaume kamili wa jf.
 
Kwa hiyo hao unaowaita wanaume kamili wanajua mtu ana swaggs na quality kwa kuangalia miguu wa mtu?
.
Ndio wanaume kamili unaowazangumzia wa kugundua uzuri wa mtu kwa kuangalia miguu yake? Yaani wanaume kamili wakiona mguu mweupe halafu mnene ndio wanafunga mkataba kwamba huyo mtu ana swaggs na apo na uquality?
.
Usitutishe wewe na hao mabaharia feki unaowaita 'wanaume kamili'. Hamna mwanaume kamili hapo.
.
Anaweza kuwa mzuri ila eti kusema kafunika picha za wote huku ni kudhihirisha kiwango chako cha ujinga.
.
Kisa mtu ni mweusi na ni mwembamba basi sio mzuri? Maana ukizungumzia ile picha ni mguu tuu unaonekana. Hiyo haitoshi kutoa kasoro picha zote zilizopostiwa.
Mbona umepaniki ndugu yangu... Mimi nimemsifia tu... Na wala sijasema kuna wengine ni wabaya..

Halafu hayo ni mawazo yangu.. Kama umeyapinga ni sawa maana hayo sio msaafu...


Lakini ukweli nimemwelewa sana huyo bidada na sijaona makosa kumsifia yeye anamvuto kuliko wengi wenu


Alafu haina haja ya kulumbana, Karibu tule mafenesi
 
Back
Top Bottom