Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watasema tumeona wivu eti
Na ndio lengo la watu wapumbavu kumtumia mtu kumuumiza mtu mwingine ili tuonane wabaya.
.
Kuna vitu imebidi nijizuie kuandika maana dada wa watu kapost na hana habari. Ila laiti huyu angepost picha halafu aandike hayo mashudu ningekula nae sahani moja hadi anieleze uquality wa mtu unaonekanaje kwa kuangalia mguu.
Na swaggs.
 
Sura ya mbuzi
20190929_195210.jpeg
 
Na ndio lengo la watu wapumbavu kumtumia mtu kumuumiza mtu mwingine ili tuonane wabaya.
.
Kuna vitu imebidi nijizuie kuandika maana dada wa watu kapost na hana habari. Ila laiti huyu angepost picha halafu aandike hayo mashudu ningekula nae sahani moja hadi anieleze uquality wa mtu unaonekanaje kwa kuangalia mguu.
Na swaggs.
Picha yako wewe 100% mzuri,iko full no doubt. Hii ingine ni imagination tu, imagination inaweza kukufikisha nje ya dunia, that's all, imagination.
 
Sifia yako imekaa kama, umedharau za wengine sababu hazina quality na hawana swaga means pic zao za kishamba

Nikupe mfano huku bush kuna mademu wakali kuliko rihana, beyonce nk lakini kutokana na mazingira pic zao zikiletwa hapa na za kina rihana, beyonce na wengine wenye kariba kama yao wataonekana ndo warembo kuzidi bushladies umenipata nadhani
Mwambie huyo.
Eti picha zote huku zifunikwe na mguu.
Mwambie awe anatumia hata robo ya akili yake.
 
Sililiii kusifiwa humu jf kupitia picha nikipita kitaa wanaume wenzio wakakimbizana inanitosha sana,

Mantiki yangu unajitia kuikwepa kwenye "wivu"
Dah jamani... Ukikubali kwamba duniani huwezi kumvutia kila mtu wala huwezi kupendwa na kila mtu... Utaishi kwa Amani sana

Ndugu yangu scorpio me picha ulizoweka hapa zina mvuto sana... Hakika Mungu amekubarikia
 
Hilo ndo la msingi potezea tu.
Na hii ndo shida ya watz wengi mtandaoni hawawezi sifia kitu mpaka walinganishe na kuunda teams hawawezi msifia Ali kiba mpaka wamlinganishe na mwanamusic mwingine.

Back
Top Bottom