Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ulikwama wapi? Mabaharia nina uhakika washamaliza round za kutosha saa hii
Muda wote nakungojea utupie kapicha, kuna sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wote nakungojea utupie kapicha, kuna sababu
Cresida15 minutes beforeView attachment 1218204
We Dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Basi nimeachaHahaha ushaanza
Ulikuwa wapi
Nishatuma kama saba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulishaniona huko?Wa pm bana
Huyu anatuona sisi wajinga hatuwajui wanaume kamili.@cresida natoka mutu anaingia mutu wa kuendeleza sebene love you hannah
Nilitoka kidogo.Ile yako kabla hujazaa meisubiria mpaka mechelewa mazoezi
😂😂 kijiwe kimetaradadiAbeee naaga lkn kutoka nashindwa kijiwe kimenoga leo
Mbona umepaniki ndugu yangu... Mimi nimemsifia tu... Na wala sijasema kuna wengine ni wabaya..Kwa hiyo hao unaowaita wanaume kamili wanajua mtu ana swaggs na quality kwa kuangalia miguu wa mtu?
.
Ndio wanaume kamili unaowazangumzia wa kugundua uzuri wa mtu kwa kuangalia miguu yake? Yaani wanaume kamili wakiona mguu mweupe halafu mnene ndio wanafunga mkataba kwamba huyo mtu ana swaggs na apo na uquality?
.
Usitutishe wewe na hao mabaharia feki unaowaita 'wanaume kamili'. Hamna mwanaume kamili hapo.
.
Anaweza kuwa mzuri ila eti kusema kafunika picha za wote huku ni kudhihirisha kiwango chako cha ujinga.
.
Kisa mtu ni mweusi na ni mwembamba basi sio mzuri? Maana ukizungumzia ile picha ni mguu tuu unaonekana. Hiyo haitoshi kutoa kasoro picha zote zilizopostiwa.
Huyu anatuona sisi wajinga hatuwajui wanaume kamili.
Eti kiganja cha mguu kitumike kuona picha nyingine huku ni mbaya. Kiganja cha mguu tuu unajuaje mtu ana swaggs?
Nimeshangaa sana aina ya wanaume kamili wa jf.
Ni huyo Mimi 😂😂😂😂😂
Nini? Unataka kusemaje 😂Mmmh!
Nini? Unataka kusemaje 😂