Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
Na ndio lengo la watu wapumbavu kumtumia mtu kumuumiza mtu mwingine ili tuonane wabaya.Watasema tumeona wivu eti
Nikikuona hata kiganja najua kwingine kukoje. Wengine rangi tu wanatoa 10/10Sasa wewe kaka ndo umeipa 100/100 sababu ya miguu...
Dah jamani... Ukikubali kwamba duniani huwezi kumvutia kila mtu wala huwezi kupendwa na kila mtu... Utaishi kwa Amani sanaMafenesi ndo yamemfanya kuwa mjinga
Nikikuona hata kiganja najua kwingine kukoje. Wengine rangi tu wanatoa 10/10
Hiyo raba bei ganiNami natupiamo kaselfieView attachment 1218970
Dah jamani... Ukikubali kwamba duniani huwezi kumvutia kila mtu wala huwezi kupendwa na kila mtu... Utaishi kwa Amani sana
Ndugu yangu scorpio me picha ulizoweka hapa zina mvuto sana... Hakika Mungu amekubarikia
Next year ' January 😎Hiyo birthday lini
Picha yako wewe 100% mzuri,iko full no doubt. Hii ingine ni imagination tu, imagination inaweza kukufikisha nje ya dunia, that's all, imagination.Na ndio lengo la watu wapumbavu kumtumia mtu kumuumiza mtu mwingine ili tuonane wabaya.
.
Kuna vitu imebidi nijizuie kuandika maana dada wa watu kapost na hana habari. Ila laiti huyu angepost picha halafu aandike hayo mashudu ningekula nae sahani moja hadi anieleze uquality wa mtu unaonekanaje kwa kuangalia mguu.
Na swaggs.
Mwambie huyo.Sifia yako imekaa kama, umedharau za wengine sababu hazina quality na hawana swaga means pic zao za kishamba
Nikupe mfano huku bush kuna mademu wakali kuliko rihana, beyonce nk lakini kutokana na mazingira pic zao zikiletwa hapa na za kina rihana, beyonce na wengine wenye kariba kama yao wataonekana ndo warembo kuzidi bushladies umenipata nadhani
Amepost? Itabidi nianze na mimi kusoma comments za nyuma nimuone.Nimescroll Hadi nahisi ganzi dole gumba kumuona beautiful kapeace lakini wapii
Dah jamani... Ukikubali kwamba duniani huwezi kumvutia kila mtu wala huwezi kupendwa na kila mtu... Utaishi kwa Amani sana
Ndugu yangu scorpio me picha ulizoweka hapa zina mvuto sana... Hakika Mungu amekubarikia
Imagination tuOoo so hapo ni rangi eti......
Akija atakujibuNi swali tu
Na ndio lengo la watu wapumbavu kumtumia mtu kumuumiza mtu mwingine ili tuonane wabaya.