Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_4188.JPG
 
Mi nakuchangamsha tu usijikwae ukaanguka mbele za watu

Ila itabidi unitambulishe maana baby nimeziona kwa wengi

Nakumbuka XMass moja dingi hakutununulia nguo, mama na mdogo wetu wa kike ndo walinunuliwa pekee.

Then akatuambia, these two are babies, any woman is a baby to you, so treat her with accordance.

From there, I consider any woman as my baby. Popote pale.
 
Acha nilale sasa maana huku tunakoelekea sio kuzuri...
Wote Mimi tofauti huyo wa green Ni new mimi baada ya kuanza kuchukia kitambi mpakato..huyo mwenye ushungi before uko nafakamia tu mavyakula ovyoovyo.
 
Wote Mimi tofauti huyo wa green Ni new mimi baada ya kuanza kuchukia kitambi mpakato..huyo mwenye ushungi before uko nafakamia tu mavyakula ovyoovyo.
Chui pekee nisiyemuogopa na ninapenda kuwa karibu naye
 
Back
Top Bottom