Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo JF imekula muda wangu sana ili nione picha za watu, walokuwa wanasema hakuna visu wajichape makofi wenyewe. Nimefarijika kuona picha kadhaa ikiwemo ya mrembo mmoja kanifundisha A level, nilimkalili sana so kumtambua hapa ilikuwa simple hata alivojificha[emoji3]
 
Jamani mbona mimi silioni hilo jicho; au picha ishafutwa?
Looh yaani bora hata wewe kuna muda una log off mimi nipo humu humu lakini bado napitwa yaani kitendo cha kwenda pm tu kurudi nakuta watu walishatuma picha na walishazifuta walishasalimiana na walishapeana michapo kama yote nabaki naduwaa tu haki huu uzi uko na speed ya mwanga
 
Hahahaa huu uzi unapaa jamani; afu ni addictive yani kila nikijikausha najikuta nauwaza

Back
Top Bottom