Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha na sie ni mababy kweli mzee hakudanganya
Nakumbuka XMass moja dingi hakutununulia nguo, mama na mdogo wetu wa kike ndo walinunuliwa pekee.

Then akatuambia, these two are babies, any woman is a baby to you, so treat her with accordance.

From there, I consider any woman as my baby. Popote pale.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka picha

IMG_8193.JPG
 
Asante mwaya!
Nachoamini yule role model wangu tunafanana sana tuu, sema tuu maisha yanatofautiana my dear!!

Tho sijawahi acha mshukuru Mungu venye niko, nikitabasamu tuu ni baraka!!!

Barikiwa sana, najua hunaga unafiki!
Ina maana ndo nimepitwa au?
 
Back
Top Bottom