Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ooh nimeiona kule juu.Angalia vizuri ipo mbona.
Positive indeed, have a nice week ahead also.
Jesus!!Haha hiyo kweli mashine kubwa (six cylinder) hapo K peke yake ina 10kg
Jicho sasa[emoji8][emoji8][emoji8]
Baadae sana hii kitu kuwa achieved. na mi naona kutojulikana kumesaidia wengi kuwa wawazi na masumbuko ya nafsi zao.. JF iendelee hivihivi.Huu uzi utafika mahali watu wataondoa woga na kujiachia kwa raha zao... Hapo ndio kutanoga sasa View attachment 1219035
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]usitake niwaze vibaya mie mtoto wa mwanamke mwenzioMkaka ana lipsi MashaAllah
Nimescreenshot kwa matumizi ya badae...
[emoji134][emoji134][emoji1787]Ndiyo maana App ya JF siku hizi imekuwa nzito.
Sasa unaniwekea picha za baharia tena
Jesus!!
Jamani mbona mimi silioni hilo jicho; au picha ishafutwa?
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]usitake niwaze vibaya mie mtoto wa mwanamke mwenzio
Mmmh huyu Shem nini
Shukriyaa; sleep well tooSaaana jamani
Lala salama kipenzi
[emoji3526][emoji3526][emoji120][emoji120]Huu uzi kuna kitu Mshana Jr kafanya.
Kila nikiondoka narudi.
cute b, Hannah, joanah, Cresida, Karma, kapeace, Heaven on Earth, Depal, Saint anne, na warembo wote walioshiriki kwenye huu Uzi, asanteni na nawatakia Jumatatu na week njema.
Nimefurahi, it was one positive thread that occupied our weekend.
Tumechelewa[emoji24]
Looh yaani bora hata wewe kuna muda una log off mimi nipo humu humu lakini bado napitwa yaani kitendo cha kwenda pm tu kurudi nakuta watu walishatuma picha na walishazifuta walishasalimiana na walishapeana michapo kama yote nabaki naduwaa tu haki huu uzi uko na speed ya mwangaJamani mbona mimi silioni hilo jicho; au picha ishafutwa?
Unaweza kuta ushajiliza kunakoHahaha unataka. Kujikana tena!?
Nimevutiwa tu na lipsi za kwenye hiyo picha nikaona nicrop kwa matumizi binafsi
Looh yaani bora hata wewe kuna muda una log off mimi nipo humu humu lakini bado napitwa yaani kitendo cha kwenda pm tu kurudi nakuta watu walishatuma picha na walishazifuta walishasalimiana na walishapeana michapo kama yote nabaki naduwaa tu haki huu uzi uko na speed ya mwanga