Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ukajisingizia kitambi[emoji134][emoji134][emoji134]
Hebu nipe siri ya mafanikio. Ila tu usiniambie nisile ugali tafadhali.
Siri ya kitambi Changu ni kufukia ugali wa kutosha,,asubuhi unamalizia kiporo na maharage.
Huwezi amini nakula kila kitu..ila skert huwa sipati size ya kiuno maana Ni bonge la kitambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeah mimi mwenyewe sababu ya kutotumia browser ni vile naona inanichosha tu hakuna sababu nyingine ila huwa najiuliza kwanini yale yote yaliyoko kwenye browser wasiyaweke na kwenye app tu
Wakiyaweka patakuwa hakuna utofauti unaofanya watu waweke chaguzi either kwa app or browser.

Browser is the best 🔥🔥
 
Kweli kabisa mimi sijui ni abiria wa aina gani yaani kweli bus inanipita huku nimesimama hapo hapo stand kweli bora hata ningekuwa home ningesema nilichelewa
Bora tuliochelewa nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siri ya kitambi Changu ni kufukia ugali wa kutosha,,asubuhi unamalizia kiporo na maharage.
Huwezi amini nakula kila kitu..ila skert huwa sipati size ya kiuno maana Ni bonge la kitambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye vitambi huwa hatusemi.
Tupo huku tumejinyamazia 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…