Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Siri ya kitambi Changu ni kufukia ugali wa kutosha,,asubuhi unamalizia kiporo na maharage.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ukajisingizia kitambi[emoji134][emoji134][emoji134]
Hebu nipe siri ya mafanikio. Ila tu usiniambie nisile ugali tafadhali.
Huwezi amini nakula kila kitu..ila skert huwa sipati size ya kiuno maana Ni bonge la kitambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]